Recent content by Mpigamaji

  1. Mpigamaji

    Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

    Betting, niligusa mikeka kadhaa nilivyoweza siku mbil nikasema siji kurudia
  2. Mpigamaji

    Ushauri wa online business

    Nasubiri kujifunza pia
  3. Mpigamaji

    Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Vifaranga vya mijusi hivyo. Siyo kila ukiwa Dar basi kila kitu uogope vingine jikaze [emoji1787]
  4. Mpigamaji

    Naomba kujuzwa bei za bati

    Kuna kampuni kibao zinauza bati, wengine saiz hadi usafiri wanagharamia wao wenyew kulingana na idadi ya bati. Wanachofanya bei wanataja wanayojua na usafiri itajilipa humo humo. Search fb, insta utawapa wengi tu. Na namba za simu kuwasiliana utazipata. Wahoji utakavyopenda Alaf Ando Dragon...
  5. Mpigamaji

    Nataka kuanza kuuza nguo kwa mtaji wa Tsh. 50,000/-

    Mwanangu, ngoja nishare uzoefu wangu Nilifanya hii mambo 2015/16 japo indirect. Aisee inalipa, siku za wkend nilikua naenda Ilala pale asubuhi saa 11 niko kweny gari kutokea River-side. Nilikua nikifika pale nafanya survey kwanz kama dakika 10 to 20 hiv kuona wapi leo napata viwalo vikali...
  6. Mpigamaji

    Nahitaji ushauri wa biashara, nina mtaji wa 1.2(million moja na laki mbili)

    Umenifanya niwaze kwa mwaka niliomaliza chuo ningesema nifanye biashara kwa kuanza hata na laki 5 saiz sijui ningekuwa na biashara kubwa kiasi gani. Ila mwana, piga hiyo reja reja. Anza na vitu fast moving na vyenye faida. Badae ukijiongeza tafuta na laini za ongea biashara ya miamala. Mil 1...
  7. Mpigamaji

    Ni wapi katika Mkoa wa Dodoma na Wilaya zake panapoweza kulimwa alizeti kwa tija?

    Ndugu, matamko ya wanasiasa mzuri sana. Chunguza nawew kwanza kabla ya kwenda na kauli zao. Usishangae mwakani wakaingiza mafuta ya kula
  8. Mpigamaji

    Faida/hasara za kutaja mtaji mkubwa/mdogo wakati wa usajili wa kampuni

    Nimeelewa mengi sana niliyokua najiiza. Sorry, naomba nijazie maswali. Je ninaweza nikasajili kampuni na ikawa haifanyikazi? Na nikishasajili kama sijaanza operations kuna haja ya kwenda TRA kupata TIN? Kama tumesajili bila kuwa na TIN tunaweza pata bank account ili tuelendelee na ukusanyaji...
  9. Mpigamaji

    Bati zinauzwa, usafiri bure ndani ya Dar es Salaam

    Dah huu uzi umenihamasisha sana. Nimejifunza mengi kuhusu bati. Mnatoa warrant card? Naona watu wanaongelea sana Alaf na Ando lakin naona huku kuna vutia
  10. Mpigamaji

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Aisee mtaji usikupe shida, waza ni eneo gani tu. Kama ni mjini utahitaji mtaji mkubwa kiasi kweli angalau 10 mil ili uwe comfortable. Vinginevyo anza na iliyopo ili ujue kama unahitaji kuongeza au vipi. Changamoto zingine zimesha ongelewa.
  11. Mpigamaji

    Airtel Mbona internet na network yenu inasumbua sana leo

    Ungeandika na inasumbua ulipo siyo kwa tz nzima
  12. Mpigamaji

    Barcode ya EFD Machine ni uporaji mwingine

    Umeelewa lakini kinacho zungumziwa?
  13. Mpigamaji

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baraza la Mawaziri kwa 0.03%.... Hizi asilimia umezipta kutoka kwenye total ya ngapi?
  14. Mpigamaji

    Nimeamua kuachana na siasa rasmi. CHADEMA walinihatarishia ajira yangu ya umma ila leo wameunga juhudi

    Sijawahi kuwaamini Chadema, labda chama kingine kitokeee kipya. Nacho kitokee kutokana na mpasuko wa CCM. Nacho pia kikija naamini hakitakua na ushirikiano wa kweli na vyama vingine vilivyopo. Kitakua na maslahi yake zaidi kuliko kujali wapinzani wenzao
Back
Top Bottom