Barcode ya EFD Machine ni uporaji mwingine

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
939
1,000
TRA kama kawaida yao wamekuja na kimbwanga kingine wote ambao wamenunua EFD machine unatakiwa ukawekewe Barcode achana na kuwa hizi machine zina Serial number. Halafu hauwekewe bure unalipa 80,000 yaani ni wizi mpana sana huu. Sijui tunawatendaji wa aina gani?
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,846
2,000
Nadhani hii mamlaka ina tatizo la ubunifu na kuja na vyanzo vipya vya mapato. Nawashauri wawashirikushe watanzania kupitia mashindano ya ubunifu, maandiko au thesis vyuoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato.
Wasomi wao inawezekana wengi wamekaririshwa mavyuoni,hawana ubunifu na ushauri mzuri kwa management yao juu ya ukusanyaji mzuri na rafiki wa kodi kabisa,wakiamka na hili,wanaamua lile,yaani ni wakurupukaji hadi basi
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,145
2,000
TRA kama kawaida yao wamekuja na kimbwanga kingine wote ambao wamenunua EFD machine unatakiwa ukawekewe Barcode achana na kuwa hizi machine zina Serial number. Halafu hauwekewe bure unalipa 80,000 yaani ni wizi mpana sana huu. Sijui tunawatendaji wa aina gani?
Hii, sasa kama mashine ina serial number, ubandike barcode ya nini? Na kwanini barcode ambayo huwekwa hata kwenye apple la shs.500/= kwenye register ya supermarket igharimu 80k, huu ujambazi sasa!
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,145
2,000
Lakini mkuu hiyo hela si unaombea return maana inahesabiwa Kama Gharama za ofis.


Licha ya ujinga wa tra Ila nimegundua tanzania wafanyabiashara hawana elimu za Mambo ya kodi. Wengi ni wajinga Sana Tena mno.
Ingekuwa rahisi hivyo kila ofisi ingemnunulia mkurugenzi private jet kwa ajili ya kazi za ofisi, si unaombea return tu.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, au kwanini TRA wasifanye bure ili kuepuka kudaiwa return ya gharama za ofisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
9,393
2,000
Ingekuwa rahisi hivyo kila ofisi ingemnunulia mkurugenzi private jet kwa ajili ya kazi za ofisi, si unaombea return tu.., , au kwanini TRA wasifanye bure ili kuepuka kudaiwa return ya gharama za ofisi
Unaelewa maana ya return mkuu ? Au unadhani return unarudishiwa hela ?


Hahaha hii nchi Kuna shida mahala
 

East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,841
2,000
Lakini mkuu hiyo hela si unaombea return maana inahesabiwa Kama Gharama za ofis.


Licha ya ujinga wa tra Ila nimegundua tanzania wafanyabiashara hawana elimu za Mambo ya kodi. Wengi ni wajinga Sana Tena mno.
Hadi uwe na hiyo 80,000. Hujui kuwa sasa hivi hata elfu 80,000 ni mtiti mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. hasa kwa mambo ya kushtukizana ?
 

HDMI

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
558
1,000
Hapo wamepiga idadi ya efd zilizopo wakaona zinafanana na magari Wakasema hizi tuzitungue version mpya ya mfumo. Kila mashine ikichangia Tsh kadhaa tuko mbali.

Tusubiri tu sehemu za kupeleka mashine wakaweka mfumo mpya.

Ila cha ajabu zile mashine zina network kwa nini tulipie kubadili firmware wakati ilitakiwa iwe automatically kama ilivyo kwenye simu.

#MitanoAgain
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom