Ushauri wa online business

Aunt Cash

Member
Feb 3, 2019
88
97
Habari zenu wakubwa, leo tena kijana wenu nimekuja mbele yenu naomba ushauri kwa mtu ambae anauzoefu na hii biashara ya online (kutangaza na kuuza bidhaa mitandaoni ), kwani nimekuwa nikivutiwa nayo sana lakini nakosa pa kuanzia ,kwa yeyote mwenye kujua yafuatayo kuhusu hii biaahara naomba ushauri wako :
1. Mtaji
2. Sehemu ya kununulia hizo bidhaa kwa bei cheap
3. Changamoto zake
4. Na namna ya kufanya mauzo i mean pay after delivery kwan wengi wanaojitangaza wamekuwa wakisema unafanya malipo baada ya kupokea mzigo
5. Na je inahtajika niwe na duka au store ndo niweze kufanya ?!,

NB: Sitarajii kukutana na majibu kama haya

JamiiForums1192242951.jpg
JamiiForums1424079441.jpg
 
Habari zenu wakubwa,leo tena kijana wenu nimekuja mbele yenu naomba ushauri kwa mtu ambae anauzoefu na hii biashara ya online (kutangaza na kuuza bidhaa mitandaoni ), kwani nimekuwa nikivutiwa nayo sana lakini nakosa pa kuanzia ,kwa yeyote mwenye kujua yafuatayo kuhusu hii biaahara naomba ushauri wako :
1. Mtaji
2. Sehemu ya kununulia hizo bidhaa kwa bei cheap
3. Changamoto zake
4. Na namna ya kufanya mauzo i mean pay after delivery kwan wengi wanaojitangaza wamekuwa wakisema unafanya malipo baada ya kupokea mzigo
5. Na je inahtajika niwe na duka au store ndo niweze kufanya ?!,

NB: Sitarajii kukutana na majibu kama haya

View attachment 2600672View attachment 2600673
Nasubiri kujifunza pia
 
Back
Top Bottom