Recent content by mpendwaeric

  1. mpendwaeric

    Naomba ushauri kuhusu Toyota surf

    Mkuu naomba mawasiliano yako 0782404101
  2. mpendwaeric

    OBAMA: Republican wameacha Trump afanye mambo ya kipuuzi Ikulu

    Obama anatakiwa akae kimya yake yalishapita na akahalalisha ushoga so akae kimya mwanahiphop ngumu anapotenda maajabu🚶🚶🚶🚶
  3. mpendwaeric

    Mawakili 24 wameungana kumtetea Mbunge wa Kyadondo, Bobi Wine Mahakamani Agosti 23

    mjukuu??? Mjuu si huwa anadekezwa sasa mjuu unamzabua hivyo😵😵😵😵😵😵
  4. mpendwaeric

    Itambue thamani ya uliyenae

    mapenzi yanaumiza sana kichwa hasa unapojikuta umempenda ambaye anazuga anakupenda kumbe hana lolote.
  5. mpendwaeric

    Kamanda Mambosasa: Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha Akwilina Akwilini wameachiwa huru

    MCHEZO WAO NDIO HUO , WAO BAHATI MBAYA WENGINE WANAONGEZEWA NA KESI
  6. mpendwaeric

    Wanajamvi nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kutengeneza juisi fulani ya asili ila changamoto mdau wa kumshirikisha

    nina wazo zuri kabisa na nimeliandika la kuanzisha kiwanda cha juisi ambayo ninaimani inahitajika sana tu ila shida mwenye mtaji wa kumshirikisha (wafanyabiashara wakubwa) nani nimuone maana naogopa kudhulumiwa wazo na watu. Nani naweza kumfata au nikashirikiana naye tukafanya ndoto kuwa kweli??
  7. mpendwaeric

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    kiukweli hata mimi nimejifunza na ninaimani nitafungua na cha kutengeneza juisi
  8. mpendwaeric

    Je, siasa za Tanzania zinasonga mbele ama kurudi nyuma?

    Kumekuwa na kauli mbalimbali hapa kwetu :- A. Watawala wanasema siasa ni nzuri na kazi ni muhimu zaidi kuliko siasa B. Watawaliwa wanasema siasa zimebanwa na hakuna kazi yeyote inayofanyika kidemokrasia. Sasa wadau nyie mnaona siasa yetu inasonga mbele na kupeperusha bendera ya maendeleo ama...
  9. mpendwaeric

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Kwa nini iendelee hivi na vyombo vya ulinzi vipo?? BASI TUTIENI MOYO WATANZANIA KWA KUWAKAMATA BASI WAUAJI AMA WANAOTEKA WATU:(:(:eek:o_O
  10. mpendwaeric

    Nabii Tito Machibya kupelekwa Milembe kuchunguzwa kama ana ugonjwa wa akili

    asiye na akili hawezi kukiri kutenda kosa akiwa hana akili, lazma afungwe
Back
Top Bottom