Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

nilishakuaga kama fala flan hv amaizing crudii katu kupenda kijinga
lakini kupenda hakupo hivyo na huwezi kusema sitapenda kwa kiwango fulani kwa kuwa unaweza kujikuta umependal mpaka umepitiliza.Chamsingi nikumpenda na kumthamini uliyenae huku ukiutambua uwepo wake na kuonyesha kila aina ya mapenzi nadhani hiyo itakusaidia
 
siku zote mapenzi yana njia zale na kanuni zake. Ukiishi na kutembea kwenye kanuni na njia Zake basi daima hutaumizwa na mapenzi
 
lakini kupenda hakupo hivyo na huwezi kusema sitapenda kwa kiwango fulani kwa kuwa unaweza kujikuta umependal mpaka umepitiliza.Chamsingi nikumpenda na kumthamini uliyenae huku ukiutambua uwepo wake na kuonyesha kila aina ya mapenzi nadhani hiyo itakusaidia
ibra kuna watu tunapenda mazima kuliko niteseke bora ntulie
 
ibra kuna watu tunapenda mazima kuliko niteseke bora ntulie
ni kweli kwamba Mapenzi Hayajaribiwi lakini unadhani utakaa Hivyo mpaka lini? Mapenzi ni hisia ambazo huongozwa na Moyo na Siku Zote Moyo Ukimpenda mtu hata ufanyaje lazima Utaumia tu. Wengi wetu hatujui mapenzi Yanahitaji nini? Wengi hatujui thamani Ya mapenzi ni Ipi.. Wengi tunajua ngono ndio Kitu cha mwisho cha kuongeza upendo bila kujua kuwa Ngono ndio Kitu Cha kwanza Kinacholeta Dharau na Usaliti katika Mahusiano.

Wengi wetu hatujali vitu vingine vinavyowasibu wapenzi Wetu.

Hatuijui ni ipi thamani ya umpendae katika Maisha Yako..

Kulia kutoka machozi ni Dalili Ya dhuluma Tunazofanyiwa kwenye mahusiano.

Kwanini Uifanye ngono iwe silaha Yako ya kumpata mwanaume? Kwanini ngono Iwe kigezo cha kumdharau mwanamke?

Ni ipi thamani Ya Mahusiano Yenu.. Mpaka kufikia kuvuliana nguo ni kwamba mmekubaliana Vya kutosha lakini hili haliwezi kuwa sababu Ya kukugeuza mtumwa.

Mapenzi ni Kujali, kuheshimu, kuthamini na kukubaliana na Kila Kitu. Kuacha Kupenda Sio Suluhu Ya kukimbia kutendwa bali ukitembea katika Njia Na kanuni za Mapenzi Utainjoy na kamwe hutatoka machozi tena labda liwe Chozi la Utamu au furaha miss gisenyi
 
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..
Ukiona unaendekeza kuchepuka jua unatoa nafasi ya mkeo kuliwa....
 
Ukiona unaendekeza kuchepuka jua unatoa nafasi ya mkeo kuliwa....
aaah hilo nakataa tena katakata.. Wanawake zetu wanahofu Ya Mungu sema waume Zao ndio Tumekuwa mabazazi ingawa na Jinsia Yenu nayo Imezidi sana
 
aaah hilo nakataa tena katakata.. Wanawake zetu wanahofu Ya Mungu sema waume Zao ndio Tumekuwa mabazazi ingawa na Jinsia Yenu nayo Imezidi sana
He hee inategemea. Sasa we kazana kuchepuka ukijipa moyo mkeo anahofu ya Mungu
 
mapenzi yanaumiza sana kichwa hasa unapojikuta umempenda ambaye anazuga anakupenda kumbe hana lolote.
 
Keep on resting in peace brother Ibra.

This thread has remainded me your presence in those good old days.

🤍🤍🤍🤍
 
Back
Top Bottom