Recent content by mparange

  1. M

    JamiiForums Tanzania TRA wagoma kufungua ofisi Vingunguti

    Tumia busara kuwasiliana nao.labda kuna jambo la dharura au kikao nyeti
  2. M

    JamiiForums Tanzania A level selection vipi? Mbona kimya?

    Mwaka huu naona selection zimechelewa sana.tutajiandaa lini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR anatesa wananchi wa DSM

    Amefunga barabara sehemu ya.vingunguti.karakata na banana.anayetaka kwenda upande wa pili kwa gari sharti aende mpaka magereza ambapo.ni mbali sana. 1. Kwanini hakuweka provisional ya njia mbadala wakati anajenga hivyo vivuko. 2. Kwanini hakuanza kujenga sehemu moja huku kwingine magari...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera TARURA Ilala, nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana

    Leo natoka Kitunda barabara imechongwa na greda. Nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana tofauti na awali saa moja. Hongera endelea kuchonga kwenda Kivule, Mwanagati, Magole, Kibeberu. Thanks and keep it up.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya miundombinu ya barabara Kitunda

    Kuna changamoto kubwa miundombinu Kitunda Magole, Kivule, Mwanagati, Kibeberu, Magole nk hasa kipindi cha mvua. Kuna tetesi kuwa DMDP Awamu ya Pili mradi wa Benki ya Dumia itajenga barabara hizo kuanza mwezi wa tisa mwaka huu. Nimejaribu kuserch kwenye web cites sioni sehemu yeyote inatajwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Selection ya Kidato cha Tano mbona imechelewa?

    Selection ya Kidato cha Tano na Vyuo mwaka huu naona imechelewa, ingetoka mapema wazazi tujipange.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Elimu hailipi kama zamani, watumishi kutumia zaidi ya nusu ya mshahara kusomesha ni ukosefu wa maarifa

    Kweli kabisa nchi ina wajinga wengi mno.utasikia wakijidanganya ukimpa mtoto elimi basi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuongeza tozo kwenye mafuta, Serikali iwabane waliotajwa na report ya CAG warudishe mabilioni walioiba

    Naunga mkono hoja.kwa asilimia mia.mimi ni mkazi wa Kitunda pesa ninayotumia kwa mwaka kutengeneza gari kutokana na ubovu wa barabara na uchelewaji ni mara kumi ya hiyo.kama barabara zote za Dsm especial kitunda wataweka lami waongeze hata 200 kwa lita
  9. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harria lexus for sale

    haijawahi kwenda body.ilikuwa ya mzungu.piga 0754 279035 tufanye biashara.bei 7m tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harria lexus for sale

    in good condition you pay and go any where.price 7m cash. Call 0754 279035. Location Ukonga DSM.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya jenereta kwenye biashara ya baa na gesti

    Nafanya biashara ya Bar na Gest house. Naombeni msaada wa kijua generator nzuri ya kuweza kusaidia umeme ukikatika.Taa 20 enegy saver muziki na TV. Bei ya chini ninayoweza kuipata na aina nzuri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Faida za Konyagi

    Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unakubali ndoa au unakataa?

    wanaokataa ndoa wamekwama.hawana ajira.pesa.wala wapenzi.wanataka kupata wajinga wa kufanana nao.unakataaje ndoa ambayo ni mpango wa mungu.tena hao wajinga wanaoendesha hii kampeni ya.kataa.ndoanwachukuliwe hatua na serikali.bila kuwa na.ndoa nchi itapataje wataalamu.wanajeshi .nguvu kazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa itujuze mvua za masika zitaanza lini

    Tafadhali tupeni taarifa sahihi kuhusu hizi mvua.ni masika imeanza DSM au la tuanze kupanda mazao?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango salama cha pombe kinachokubalika kiafya kwa siku

    Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk. Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne...
Back
Top Bottom