Kwa Kumbukumbu zako zilikua zinatoka mwezi gani?Mwaka huu naona selection zimechelewa sana.tutajiandaa lini?
Selection hazijachelewa sema wewe huu Mwaka ndo unakuhusu (una mtoto/ndugu) anaye enda form five.Mwaka huu naona selection zimechelewa sana.tutajiandaa lini?
Yeye ndo anasubiri kwendaSelection hazijachelewa sema wewe huu Mwaka ndo unakuhusu (una mtoto/ndugu) anaye enda form five.
Mwaka huu yamechelewa tofauti na inavyokuwa miaka yote.Selection hazijachelewa sema wewe huu Mwaka ndo unakuhusu (una mtoto/ndugu) anaye enda form five.
Mwaka gani kufika wakati huu selection zilikua zimetoka?Mwaka huu yamechelewa tofauti na inavyokuwa miaka yote.
Hii ndio best Comment ya Mwez, Ni swali alafu ni Jibu.Kwa Kumbukumbu zako zilikua zinatoka mwezi gani?