AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,479
Ofcoz dunia ndo ishakua hii usishupaze shingo utavunjika asee, Waolewaji wenyewe Mmekaa kimchongo mchongo tuLini mliacha kuwasimanga ni single mothers. Sasa nao wanaamua kua nyie mnakataa ndoa na wao wanakataa kuzaa ni kula ujana tu. Dunia mnayotaka iwe itakua ya hovyo sana.
kama mtoto anagombana na mzazi wake na kufikia hata kumchukia kwa wakati huo atashindwaje kupishana na mpenzi/mke/mume wake ambaye wamekutana ukubwani. Hayo ndio maisha na usipoyapitia utakua soft sana