Mkandarasi wa SGR anatesa wananchi wa DSM

Mkandarasi wa SGR anatesa wananchi wa DSM

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Amefunga barabara sehemu ya.vingunguti.karakata na banana.anayetaka kwenda upande wa pili kwa gari sharti aende mpaka magereza ambapo.ni mbali sana.

1. Kwanini hakuweka provisional ya njia mbadala wakati anajenga hivyo vivuko.

2. Kwanini hakuanza kujenga sehemu moja huku kwingine magari yaendelee kupita kuondoa usumbufu.

3. Mbona spidi ya ujenzi wa hivyo vivuko ni ndogo sana wakati anajua wananchi tunateseka kuzunguka mpaka magereza.

4. Hebu atuambie atakamilisha ujenzi wa hivyo vivuko.

5. Tunaomba mkuu wetu wa mkoa awalazimishe kwenye vivuko vyote vitatu vya vingunguti.karakata na banana mkandarasi atuwekee njia ya muda magari kupita sehemu hizo uweekano upo kabisa sema wanakosa msukumo.
 
Hakuna uongozi Tanzania waambie waache kazi, afsa kazi hapa Dar ni kilaza kimoja hapa kilevi kilevi tu

USSR
 
Asee juzi nilitokea kinyerezi kwenda buza nikapitia apo mjumba sita nikakuta wamefunga ikabidi nipitie 'sevisi rodi' hadi vingunguti ndio nikaingia barabara kubwa kuitafuta Jet.

Ni usumbufu mkubwa kwakweli. Yaani ukiwa majumba sita ni eidha urudi hadi vingunguti au uende hadi magereza ndo upate barabara kubwa.
 
Back
Top Bottom