Matumizi ya jenereta kwenye biashara ya baa na gesti

Nafanya biashara ya Bar na Gest house. Naombeni msaada wa kijua generator nzuri ya kuweza kusaidia umeme ukikatika.Taa 20 enegy saver muziki na TV.

Bei ya chini ninayoweza kuipata na aina nzuri.
kuanzia KVA 5 itakusaidia.
 
Nafanya biashara ya Bar na Gest house. Naombeni msaada wa kijua generator nzuri ya kuweza kusaidia umeme ukikatika.Taa 20 enegy saver muziki na TV.

Bei ya chini ninayoweza kuipata na aina nzuri.
Tafuta Honda au Mitsubishi
 
Nafanya biashara ya Bar na Gest house. Naombeni msaada wa kijua generator nzuri ya kuweza kusaidia umeme ukikatika.Taa 20 enegy saver muziki na TV.

Bei ya chini ninayoweza kuipata na aina nzuri.

IMG_5512.jpg

IMG_5515.jpg

IMG_5514.jpg
 
Back
Top Bottom