Elimu hailipi kama zamani, watumishi kutumia zaidi ya nusu ya mshahara kusomesha ni ukosefu wa maarifa

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,277
21,455
Mtumishi wa kati kutumia zaid ya nusu ya mshahara wake kulipia watoto wake wa chekechea na shule za msingi ada shule za Englisha medium ni ukosefu wa maarifa ya matumizi ya pesa "lack of finance literacy", hili jambo lime fanya kuongeza umasikini miongoni mwa wa tumishi wa umma wa mishahara ya kati, na kuendeleza "urban poverty"

Mtu ana hudumia watoto mpaka anakuja kustaafu imechoka kifedha hana nyumba mjini au kijijini na watoto alio waangaikia hawana ajira anawahudumia tena mara ya pili ku watunza nyumbani ndo maana wastaafu wengi wana kumbana na kisukari na pressure hi inatokana na longtime accumulated stress, wanakufa mapema 10 to 5 baada ya kusitaafu.

Jamani kama 10% ya mshahara wako haitoshi kulipia hao watoto ada zao kwenye shule za English medium jua hiyo sio level au hadhi yako better find your level, kuna shule za umma ni zuri tu mzazi ukiwa serious.

Kuna mtumishi jirani yangu na muonea huruma mtoto wake anafuata na gari kila asubuhi na anarudishwa jioni ila yeye Baba anaenda kwa mgu kituoni kwake na anarudi na boda-boda, hajii na mfuko wowote mkononi ananunua nafaka za mwezi kama kuku kweli maulisha gani hayo?
 
Mkuu huu uzi wako una ukweli asilimia mia kabisa ayo uliyoyazungumza ni ukweli mtupu kabisa watu wanateseka sana ili hali jirani aone mtoto anapanda yale magari ya njano akili kumkichwa kama kipato kinaruhusu flesh

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu . serikali itusaidie kuanzisha shule za english medium wenye uwezo wa kati wanaweza kulipa hio ada nafuu,shida hapo ni kujua lugha ya kizungu tu
 
kweli kabisa.nchi ina wajinga wengi mno.utasikia wakijidanganya ukimpa mtoto elimi basi
Na hizi shule za English medium zimekua kibishara zaid sio elimu imagine ada 2m usafiri 300k kwa muhula chakula 25000, muhula tour 100k mitihani 50k kwa mwaka unajokuta wewe mzazi umelipa zaid ya 4m kwa mtoto moja ukiwa na watoto wa 3 ni 12m kwa mwaka wakati mshahara wako ni 1.5m mwaka 18. 18-12= 6 kweli hizo 6m utaweza kulisha familia na kulipia basic utilities
 
Ukweli mchungu . serikali itusaidie kuanzisha shule za english medium wenye uwezo wa kati wanaweza kulipa hio ada nafuu,shida hapo ni kujua lugha ya kizungu tu
Kwani Engilish kama ni muhimu kwanini kiingerza kisitumike kama medium of instruction katika shule zote za ummah ili kuondoa matabaka katika jamii yetu.
 
Hayo ndo madhara ya serikali kutelekeza elimu ya umma kwa kutoweka miundombinu mizuri na kujali maslahi ya walimu. Badala yake wamesababisha wananchi kuingia gharama kubwa kuhangaikia elimu ya watoto wao tangu chekechea kwa kuamini kwamba shule binafsi ndo zinazotoa elimu bora kwa sasa.

Viongozi wengi wa sasa au wazazi wao ni watu waliotokea kwenye familia duni kabisa huko vijijini. Lakini mwalimu Nyerere kwa kulitambua hilo akafanya elimu iwe ya umma na mtoto yoyote aliyefaulu bila kujali hali ya wazazi wake apate elimu bora kwenye shule na vyuo vya umma vilivyokuwa vinaendeshwa kwa kodi za watanzania.

Lakini baada ya hawa viongozi wa leo kupata madaraka hawajali kuhusu ubora wa elimu ya umma huku wakipeleka watoto wao shule binafsi zenye majina kama Feza, sijui na kitu gani.

Jambo la muhimu ni kwa serikali kurudisha trust ya wananchi kwamba bado ina dhamira ya kweli ya kuendelea kuifanya elimu ya umma kuwa bora na siyo bora elimu.​
 
Elimu imeshuka thamani duniani kote. Huku kwetu ndiyo zaidi. Si vyema kutumia gharama kubwa kuwekeza kwenye vitu visivyo na thamani. Tunahitaji mjadala wa jinsi ya kumuandalia mtoto maisha mazuri ya baadaye.
 
Kwani Engilish kama ni muhimu kwanini kiingerza kisitumike kama medium of instruction katika shule zote za ummah ili kuondoa matabaka katika jamii yetu.
Hamna umuhimu wowote wa English medium. Lugha ina mchango mdogo sana kwenye kufaulu. Wapo ambao hawajui kuzungumza kiswahili lakini mtihani wa shule ya msingi wanapata ufaulu mzuri tu

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mfumo wa elimu unahitaji kufanyiwa 'Overhauling' na maboresho ya hali ya juu.

1. Masomo yapunguzwe hakuna haja ya watoto kusoma vitu vingi ili kumjaza kichwa na information ambazo anaweza asiziapply maisha yake yote.

2. Muda wa masomo upungue. 1 year kindergarten, 4 years primary school. 4 years secondary school. Watoto wasikae sana shule wanapoteza muda wa kufanya maisha ikiwamo kujenga familia mapema.

Kuna mengi ya kubadili aisee.
 
Miye wangu wananzaa chekechea English media mpaka darasa la nne kuanzia darasa la tano anakuja kukomaa uku na wazalendo wenzie

Fanya hivyo utanishukuru badae
 
Mtumishi wa kati kutumia zaid ya nusu ya mshahara wake kulipia watoto wake wa chekechea na shule za msingi ada shule za Englisha medium ni ukosefu wa maarifa ya matumizi ya pesa "lack of finance literacy", hili jambo lime fanya kuongeza umasikini miongoni mwa wa tumishi wa umma wa mishahara ya kati, na kuendeleza "urban poverty"

Mtu ana hudumia watoto mpaka anakuja kustaafu imechoka kifedha hana nyumba mjini au kijijini na watoto alio waangaikia hawana ajira anawahudumia tena mara ya pili ku watunza nyumbani ndo maana wastaafu wengi wana kumbana na kisukari na pressure hi inatokana na longtime accumulated stress, wanakufa mapema 10 to 5 baada ya kusitaafu.

Jamani kama 10% ya mshahara wako haitoshi kulipia hao watoto ada zao kwenye shule za English medium jua hiyo sio level au hadhi yako better find your level, kuna shule za umma ni zuri tu mzazi ukiwa serious.

Kuna mtumishi jirani yangu na muonea huruma mtoto wake anafuata na gari kila asubuhi na anarudishwa jioni ila yeye Baba anaenda kwa mgu kituoni kwake na anarudi na boda-boda, hajii na mfuko wowote mkononi ananunua nafaka za mwezi kama kuku kweli maulisha gani hayo?

Sidhani kama ni sawa ku generalize, wengine wazazi walikua middle income families mpaka walikopa tusome hizo english medium za hela nyingi na leo matunda tunayaona.

Kama mzazi unaweza pambana kupeleka mtoto shule nzuri ni kheri umpeleke tu mtoto. Kwa sasa it’s not only about grades bali exposure na connection watoto wanajenga kuanzia mwanzo mpaka wana maliza vyuoni huko.

Mtoto anaweza tengeneza bond na watoto ambao baadae mahusiano yao yanaweza kuwa na advantage kwake either kwa kupata kazi au deals za biashara and etc.

Nimesoma na baadhi ya watu ambao kabla ya kupata japo vya kwangu kidogo ila walinisaidia sana ku pata michongo ya hapa na pale na ni watu nimejuana nao at primary level.

Exposure na connection.
 
Sawa hilo na kubaliana na lo kuna faida nyingi kusoma hizo shule, lakini kwanini uishi maisha ya dhiki wewe mzazi kwa kusomesha mtoto kwenye shule ya gharama haliakua kuna shule zingine zenye unafuu wa ada.
 
Nadhani hapo sasa inakuja kwenye swala la kiasi gani mzazi yuko willing ku sacrifice maisha yake ili mwanae apate kilicho bora.

Nadhani mzazi aangalie unafuu uko wapi plus watoto wake ni wangapi. Huwezi ku earn 18m afu ukatumia 12m kwenye ada kama ulivo sema awali, inakua hai make sense.

Zaa watoto number reasonable kabisa unayo weza hudumia kwa resource ulizo nazo hapa nakubaliana na wewe kabisa.
 
Jamaa unaakili ndogo kama charger ndogo ya Simu ya ww kushindwa kwako ndo unataka na wengine washindwe hujui tembo hachoshwi na mzigo wake pole Sana jitahidi uwe una kaa na watu wenye hekima wakuongeze maarifa over
 
Back
Top Bottom