Kuna changamoto kubwa miundombinu Kitunda Magole, Kivule, Mwanagati, Kibeberu, Magole nk hasa kipindi cha mvua.
Kuna tetesi kuwa DMDP Awamu ya Pili mradi wa Benki ya Dumia itajenga barabara hizo kuanza mwezi wa tisa mwaka huu.
Nimejaribu kuserch kwenye web cites sioni sehemu yeyote inatajwa.
Wahusika hebu tupeni habari kuhusu hiyo project.