Recent content by mpangwa1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    Kama mtu anastahili wacha apewe sifa yake..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Kweli wewe wingu............
  3. M

    JamiiForums Tanzania usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Ni kweli kama si usiku wa leo, ipo usiku watawala wetu watujua huu si upepo wakupita...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nbc bank kuna wezi kuwa makini na account yako

    Mimi nilingundua salio kwenye account yangu ya NBC limepungua nikajaribu kuomba mini statement kwenye ATM haikuonyesha ndipo nikaenda ndani wakawa wakali nikaomba bank statement ikaonyesha loan arrears mkopo ambao nilishamaliza malipo yake mwaka uliopita. Baada ya kuwapa maelezo na vielelezo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    sasa wadada siwajibu tu huwa wanakojoa nini!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho....

    Nilipokuwa namtongoza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Asante sana wakuu lakini huku niliko Toyota Hilux hazipatikani na ikipatikana bei yake kubwa sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Naomba msaada wa ushauri nataka kununua gari aina ya pick up ambayo nafikiri itanisaidia sana katika shughuli zangu za kila siku lakini huku nilipo pickup zinazopatikana ni Mitsubishi L200 na Ford Rangers. Wenye uzoefu mnisaidie ipi kati ya hizi mbili inafaa kufuatana na hali yetu ya Bongo! Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya shemeji yangu

    Shem umeamua kunisemea hapa JF lakini na wewe mbona huwa hukwepeshi nikikushika kule nani au kukuguza mguuni. kwetu mwanamke ukiona amenyaza maanake amekubali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Wafanyakazi EWURA wanalipiwa gym USD 200 kwa mwezi

    Kwa nchi Masikini kama Tanzania Kutumia hela ya walipa kodi kulipia watu gym hayo mimatumizi mbaya.Mahospitalini wangonjwa wanalala chini, hawa net, mazingira machafu, hakuna dawa eti mfanyakazi wa ewura analipia dola 200 gym kwa nini huyo MD asisitafishwe kwa manifaa ya umma.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimekudondokea sana Halima Mdee!

    asante ngoja nami nijaribu bahati yangu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    kama mimi nilivyo mgonjwa na avatar yako!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    kafanya nini baada ya kukerwa? Nikawaida yake tu kutembele sehemu kama hizo akikosa mialiko ya nje.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

    Tunajidharau wenyewe watu wanakuja tunawapa kila kitu, kisha tunaanza kuwaomba obviously watatudharua tu, kwa ujinga wetu. wazungu, wahindi an waarabu wamekuja tumewapa madini, ardhi, mashamba hadi nyumba za NHC. Kutakuwa na heshima hapo. Ni sawa na mgeni anakuja unamkaribisha chumbani alale an...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni wajinga au wana hela za kuchezea?

    unamwona cameroon anavyowabana watu wake eti akupe msaada wewe bure, kwani ufisadi Tz unafanyika na nani (rada ilitoka wapi, ndege ya rais, wamiliki wa migodo etc)
Back
Top Bottom