Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

Ni kweli wachina, wazungu na wengineo wanatudharau waafrika lkn wkt mwingine sisi wenyewe tunajiweka kwenye hali hiyo, mfano; Nenda Guangzhou, China uone wanigeria wanavyobehave? utawalaumu wachina kweli?.....mifano ipo mingi tuuu
 
Tofauti ipo kubwa sana, Kwa elimu aliyokuwa nayo mzungu ni tofauti sana kulinganisha na mhindi, na mzungu ni mwepesi sana kuelewa, Mhindi hana elimu, ni maskini na mwenye kupenda kujiweka juu sana hata kama ni maskini. mhindi humwona mtu mweusi kama mjinga vile ama mtu asiyekuwa na mbele wala nyuma, lakini ukiangalia hali halisi utakuta kuna weusi wengi tu wenye elimu na mali kuliko hao wahindi. tatizo la mhindi ni kujifanya anajua lakini kumbe anaungua jua. kwa sasa hali imebadilika , zamani nilikuwa nikienda hoteli inayomilikiwa na mhindi sanasana utakuta wengi wa wateja ni wao kwa wao, ukiingi utaangaliwa juu mpaka chini, na oda utakayotoa huenda ikachukua masaa, kwa sasa kuna weusi ( sitaki kutumia neno wazawa... ) wengi tu ambao wamefungua mahoteli na wala siwezi kujisumbua kupeleka vijisenti vyangu kwa wahindi. nachangia mweusi mwenzangu.
 
Tuache unafiki na ubishi wa kujifurahisha nafsi wa funika kombe mwanaharamu
apite. Ukweli ni kwamba bara la Africa limevamiwa na wageni wengi kutoka nje.
wengi wa wageni hao ni Wazungu,wahindi na waarabu. Kwa hapa Tanzania ime
fikia wengine kupata uraia bubu ilimradi mambo yao yaende,na wengine wamepata
uraia kwa kuzaliwa hapahapa. Lakini kiukweli ukiwachunguza kwa makini hawa watu
utagundua kuwa wengi wao kama si wote wanawazarau watanzania usipime!
Yaani kwao mtu mweusi (mwafrica) si chochote si lolote.
Ndiyo maana nauliza kati ya Mzungu,muhindi,na mwarabu ni nani anazarau sana
waafrica? - Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo. Ahsanteni.
Acha ujinga wewe!! Kenge wewe...rudi shule ukasome...unasema bara la afrika limevamiwa na waarabu?? Limevamiwa vipi???? Kwani Egypt, Libya,Algeria, Tunisia,Morocco,Mauritania n.k wanaishi watu wa aina gani???
 
Kutokana na uzoefu wangu naona wahindi wanaongoza kwa bahati nzuri nimeishi au kufanya kazi na makundi yote uliyoyata ila wahindi wanaongoza kwa ubaguzi na dharau yani hata wanapokuwa katika sehemu za kuabudu wanashindwa kuficha ubaguzi wao ,sehemu za kazi ndio usiseme wakitangaza kazi wanaspecify kabisa na wahindi wanaowataka, kwenye masuala ya nyumba ndio kabisa wako radhi nyumba ikae bila mpangaji kuliko kumpangisha mwa africa.ila kitu kimoja ambacho nimejifunza na sisi wa africa tuna matatizo sana hatujiamini,tunajishusha na kujidhalilisha mno kwa hawa watu ndio mana nao wanatudharau
 
...ila kitu kimoja ambacho nimejifunza na sisi wa africa tuna matatizo sana hatujiamini,tunajishusha na kujidhalilisha mno kwa hawa watu ndio mana nao wanatudharau
I could not agree less!

Wakati mwingine inabidi nimkumbuke mchonga (Mwl. Nyerere). Katika viongozi waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha mwamko wa kisiasa na kiakili kwa watanzania huyu peke yake ndio alilivalia njuga suala hili. Yaani watanzania tumefika katika hali ya kuwaogopa wageni kiasi hiki? Dah, kaazi tunayo. Tumepoteza diraa!!!
 
Acha ujinga wewe!! Kenge wewe...rudi shule ukasome...unasema bara la afrika limevamiwa na waarabu?? Limevamiwa vipi???? Kwani Egypt, Libya,Algeria, Tunisia,Morocco,Mauritania n.k wanaishi watu wa aina gani???
Heeee...vipi kaka kulikoni? umelewa au umegombana na mkeo hasira waleta jamvini?
Kenge ni wewe uliyeshindwa kujibu kwa hoja kama hao watu wengine walivyofanya kwenye hii topic.
Barazuri mkubwa weeee!@#$%#*fyakufyakufyaku ndiyo nini? Jenga hoja
 
Tunajidharau wenyewe watu wanakuja tunawapa kila kitu, kisha tunaanza kuwaomba obviously watatudharua tu, kwa ujinga wetu. wazungu, wahindi an waarabu wamekuja tumewapa madini, ardhi, mashamba hadi nyumba za NHC. Kutakuwa na heshima hapo. Ni sawa na mgeni anakuja unamkaribisha chumbani alale an mke wako na wewe una lala sebuleni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom