Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

hawa mamods walivyo na akili mgando wataiacha hii post iendelee kuwepo hapa

MBONA UNAWATUSI BURE?
akil mgando zimekujaje sasa?
asi ndo umepost wa kwanza wewe?

acha izo mshkaji si poa.....

Mbona hampatii jibu hili si jukwa la wakubwa? Au muliza swali ni mtoto?. Kama ninavyofahamu mwanamke wakati wa tendo la kujamiana(kuto**ana)hutoa maji yanayoteleza kulainisha uke na sio kwamba amekojoa ila si wote wanaokojoa kama huna uzoefu. Kukojoa kunaozungumzwa ni mwanamke anapokaribia kufika kileleni hutokwa na maji yasiyoteleza kama vile mkojo wa kawaida lakini hauna harufu yeyote kama wa mkojo na kama amekulalia kifuani anakuloanisha maeneo ya mavuzi, na ili ufanikiwe hilo ni mpaka usisimue kinembe chake kwa ulaini sana au G -Sport ambayo ipo kwa ndani ya uke usawa kinembe. Sasa baada hatua hiyo ndio hufika kileleni na wakati huo wanawake wengine hukubana kwa nguvu huko akitoa sauti isiyo ya kawaida na misuli ya uke wake hubana uume(mb*o*) wako hadi raha. Kwa wengine akianza kutoa sauti baada ya muda anakurusha naye anajikunyata mwenyewe na hataki umguse mpaka baada dakika 5 hadi 10. Hivyo kukojoa ni hatua ya kufika kileleni na mwanake anaweza kukojoa (squirt) zaidi ya mara moja kwa tendo moja ila akishafika kileleni kama nilivyoeleza wanawake huchukua muda mrefu kurudia na baadhi hupata kausingizi na akiamka kama ni mkeo asubuhi ataamka mapema kukuandalia kifungua kinywa kwa upendo.

mbona hampatii jibu hili si jukwa la wakubwa? Au muliza swali ni mtoto?. Kama ninavyofahamu mwanamke wakati wa tendo la kujamiana(kuto**ana)hutoa maji yanayoteleza kulainisha uke na sio kwamba amekojoa ila si wote wanaokojoa kama huna uzoefu. Kukojoa kunaozungumzwa ni mwanamke anapokaribia kufika kileleni hutokwa na maji yasiyoteleza kama vile mkojo wa kawaida lakini hauna harufu yeyote kama wa mkojo na kama amekulalia kifuani anakuloanisha maeneo ya mavuzi, na ili ufanikiwe hilo ni mpaka usisimue kinembe chake kwa ulaini sana au g -sport ambayo ipo kwa ndani ya uke usawa kinembe. Sasa baada hatua hiyo ndio hufika kileleni na wakati huo wanawake wengine hukubana kwa nguvu huko akitoa sauti isiyo ya kawaida na misuli ya uke wake hubana uume(mb*o*) wako hadi raha. Kwa wengine akianza kutoa sauti baada ya muda anakurusha naye anajikunyata mwenyewe na hataki umguse mpaka baada dakika 5 hadi 10. Hivyo kukojoa ni hatua ya kufika kileleni na mwanake anaweza kukojoa (squirt) zaidi ya mara moja kwa tendo moja ila akishafika kileleni kama nilivyoeleza wanawake huchukua muda mrefu kurudia na baadhi hupata kausingizi na akiamka kama ni mkeo asubuhi ataamka mapema kukuandalia kifungua kinywa kwa upendo.
unahangaika bure kujibu wakati mtoa mada hana access na hili jukwaa alipost kuptia jukwaa la mahusiano

unahangaika bure kujibu wakati mtoa mada hana access na hili jukwaa alipost kuptia jukwaa la mahusiano

Sikujua hilo, sasa kwanini wameiweka huku wakijua hawezi ku ingia humu?

Sikujua hilo, sasa kwanini wameiweka huku wakijua hawezi ku ingia humu?
ilikuwa jukwaa la mahusiano ikaamishwa kwa kuwa inaongelea mambo ya wakubwa

Hivi hiki google ni nini? Kilakitu utasikia google, google! Ni aina ya simu au chakula ama ni kifaa gani jamani? Isije kuwa ni msamiati mpya kama Masaburi. Na hii sredi ni masaburi au google? Mwe!!

Mwendabure taratibu na mbavu zetu lol!...... nimecheka sana leo

Topic nzuri tu hii kuna wanaume kibao humu hawajui/hawawafikishi wake/madem zao sababu ya kutojua maandalizi ama haraka zao so watu waelewe maana ya mwanamke kufika kileleni maana yake kama alivojaribu kuelezea mkuu Suip

Naona wengi kwa kukosa majibu ya uhakika wanaishia kumkashifu/kumbeza tu mleta mada. Kwangu mimi hili ni swali la msingi tu na hapa pengine ndio mahala pake pa kuuliza na kupata majibu bila haya/soni. Kwa bahati mbaya elimu hii ni nadra sana kutolewa katika njia rasmi kama shule nk na hivyo kumekuwapo na upotoshaji mkubwa tu....hata watu wazima (wake kwa waume) wengine ukiwasikiliza mara nyingine unaona gap kubwa tu la knowledge liliopo katika eneo hili. So tunaweza kufunzana hapa kwa uwazi tu tukijificha kwa ID zetu!

Nijuavyo mimi mwanamke anapofika kileleni (orgasm) sio lazima 'akojoe' chochote kama ilivyo kwa mwanaume. Ute (lubricants!) unaotolewa na mwanamke katika hatua za awali (arousal) sio 'mkojo' na sio kiashiria cha orgasm. Wengi hata hawafiki kabisa kileleni. Tuache kwa makusudi controversial phenomenon ya female ejaculation (ambayo essentially inatumia system ya mkojo na sio uke).

Labda kujaribu ku rephrase swali: Ni ishara gani tunaweza kuziona/hisi/sikia zinaashiria mwanamke amefikia orgasm?" - angalia macho yake (pupils) zake, rangi sehemu za kifuani - hasa wanawake weupe, mapigo ya moyo, uhemaji wake, muscle contractions (vaginal) etc.

Du kweli haka katoto MAGISAC ndo post ya 2 kanatuma, ningeshangaa kapataje access ya kuingia humu, mpeni salam zake.
Nakubaliana na SMU lakini kwa kuongezea, mwanamke huwa anafikia kileleni kwa aina zaidi ya 2
1. kwa kukojoa, ejaculate km kujipiga musterbation, kupigwa katerero
2. kufikia mshindo ambapo mwanamke hukojoa ndani kwa ndani orgasm (mfano ukimkandamizia dhaka** au akiukumbatia mto mapajani atafikia mshindo)
kwa hiyo wanawake wanafaidi zaidi ya wanaume, mradi ampate ampendae hata km ni buzi lake. Utasikia fulani anamfikisha ni pale anapojiachia filling zake

Naona wengi kwa kukosa majibu ya uhakika wanaishia kumkashifu/kumbeza tu mleta mada. Kwangu mimi hili ni swali la msingi tu na hapa pengine ndio mahala pake pa kuuliza na kupata majibu bila haya/soni. Kwa bahati mbaya elimu hii ni nadra sana kutolewa katika njia rasmi kama shule nk na hivyo kumekuwapo na upotoshaji mkubwa tu....hata watu wazima (wake kwa waume) wengine ukiwasikiliza mara nyingine unaona gap kubwa tu la knowledge liliopo katika eneo hili. So tunaweza kufunzana hapa kwa uwazi tu tukijificha kwa ID zetu!

Nijuavyo mimi mwanamke anapofika kileleni (orgasm) sio lazima 'akojoe' chochote kama ilivyo kwa mwanaume. Ute (lubricants!) unaotolewa na mwanamke katika hatua za awali (arousal) sio 'mkojo' na sio kiashiria cha orgasm. Wengi hata hawafiki kabisa kileleni. Tuache kwa makusudi controversial phenomenon ya female ejaculation (ambayo essentially inatumia system ya mkojo na sio uke).

Labda kujaribu ku rephrase swali: Ni ishara gani tunaweza kuziona/hisi/sikia zinaashiria mwanamke amefikia orgasm?" - angalia macho yake (pupils) zake, rangi sehemu za kifuani - hasa wanawake weupe, mapigo ya moyo, uhemaji wake, muscle contractions (vaginal) etc.

Ni kweli SMU wengi hufunga macho, mapigo ya moyo huongezeka,pumzi huongezeka,misuli ya uke hubana na wengine si wote hushika(scrach)nywele zake au matiti yake, hayo yote ni jinsi mnavyojituma na utundu wenu na mwanaume(dont be conservative) usikatae hisia za mwenzako atakavyoelekeza pakumshika. Tatizo ni wanaume kuwahi kumaliza na kuwaacha akina mama njia panda. Na nikirudi nitatoa namna ya kufanya bila kunywa value au konyagi na kuwatesa wenza kwa harufu ya pombe. Big up SMU

Mbona hampatii jibu hili si jukwa la wakubwa? Au muliza swali ni mtoto?. Kama ninavyofahamu mwanamke wakati wa tendo la kujamiana(kuto**ana)hutoa maji yanayoteleza kulainisha uke na sio kwamba amekojoa ila si wote wanaokojoa kama huna uzoefu. Kukojoa kunaozungumzwa ni mwanamke anapokaribia kufika kileleni hutokwa na maji yasiyoteleza kama vile mkojo wa kawaida lakini hauna harufu yeyote kama wa mkojo na kama amekulalia kifuani anakuloanisha maeneo ya mavuzi, na ili ufanikiwe hilo ni mpaka usisimue kinembe chake kwa ulaini sana au G -Sport ambayo ipo kwa ndani ya uke usawa kinembe. Sasa baada hatua hiyo ndio hufika kileleni na wakati huo wanawake wengine hukubana kwa nguvu huko akitoa sauti isiyo ya kawaida na misuli ya uke wake hubana uume(mb*o*) wako hadi raha. Kwa wengine akianza kutoa sauti baada ya muda anakurusha naye anajikunyata mwenyewe na hataki umguse mpaka baada dakika 5 hadi 10. Hivyo kukojoa ni hatua ya kufika kileleni na mwanake anaweza kukojoa (squirt) zaidi ya mara moja kwa tendo moja ila akishafika kileleni kama nilivyoeleza wanawake huchukua muda mrefu kurudia na baadhi hupata kausingizi na akiamka kama ni mkeo asubuhi ataamka mapema kukuandalia kifungua kinywa kwa upendo.
Ndoa nzuri jamani usipimeeeee! Mkuu umeeleza kwa ufasaha sana, natumaini wengi tumefaidi sana humu. So ukiona Mkeo hajakuandalia chai maana yake hukumpa vitu vya uhakika usiku?

Anakojoa mkojo...maana ukisema kukojoa kinachokojolewa siku zote ni mkojo pekee

Ni kwa wale walio na NDOA tu zilizohalalishwa kidini au kimila.Kufika kilele kwa mwanamke nilile itikio la akili ambalo hukamilisha tendo la kufanya mapenzi.Mwanamke hujisikia starehe zaidi ikiwa kama ataandaliwa na mwezi wake kabla kiasi cha dakika zaidi ya 10 au 15 kutegemea na utayari wa akili ya mwanamke.Ili aweze kujisikia raha na kufika kilelele anatakiwa kujiandaa akili yake na kumfundisha mwezi wake namna ya kuingia kwake ndani na msuguano wa juuu zaidi unafaa kumfanya mwanamke afike kilelele hata kama ni mgumu kiasi gani akiandaliwa na yeye akili yake kuiwekea tayari kwa kazi hiyo atafika mwisho wa safari vizri.

Wanaume kumbukeni tendo la mapenzi mnatakiwa kuridhishana wote na hasa huwa inakuwa raha mstarehe mkifika pamoja kwenye kilele.Wanaume tambueni kwamba mwitikio ya miili ya wanawake huja polepole sana kuliko wanaume kwahiyo nilazima kuwaandaa wenzi wenu ili nao wajisikie raha .

Niishie hapa kwa leo.

Back
Top Bottom