Nimekudondokea sana Halima Mdee!

Status
Not open for further replies.
jaribuni kumuelewa mleta mada...amefikisha ujumbe ambao wengi hamjaelewa ila mnakimbilia kudhani ni yale

Ujumbe kama upi Edson, maana kama watu hawakuelewa ujumbe, unaweza saidia kuelezea kidogo ile ujumbe ufike fasaha na watu waweze toa maani yako tokana na ujumbe mwanana..
 
nitafute nitakusaidia kumpata na kama wewe ni dereva pia alikuwa anatafuta dereva na unaweza kutumia gia ya kwamba unataka kazi
 
Maombi yako nina wasiwasi nayo, inabidi yaundiwe tume isije ikawa unataka kupata tu umaarufu kupitia kweke, au uliposikia wamepewa mil. 90 za magari udenda unakutoka.

Hapo umenena mkubwa. Vinana wengi wa siku hizi wanakimbilia wanawake wenye pesa zao hata kama wamewazidi umri. Mwishowe mkibagwa mnakimbilia vyombo vya habarai eti nimenyang'anywa, etc. Power and Authority ya mwanaume itakuwa wapi kama wewe ni binti? Utadharauliwa tu, no way. Akina mama waone walivyo, kama huna kitu basi unakuwa treated like a house boy at some point. Acheni vya kunyonga vijana. Eti unahamia kwa mwanamke ana gari, nyumba na kazi nzuri, kudadeki, on my neck.
 
Mheshimiwa sana,

Pole na Majukumu.

Kawaida ya binadamu makini na mahiri ni kuthubutu kufanya kile anachoamini ni sahihi.Kuikweli mtazamo wangu kuhusu wewe Mheshimiwa ingawa ni wa kiharakati lakini upande wa pili wa shilingi ni kwamba unaniacha hoi sana.Huwa najiuliza kwanini hisia zangu kwako hazikomi lakini sijui ila inatosha kusema kuwa nimekudondokea.

Ndoto zangu niziotazo kwako ni kwamba nikibahatika kukubaliwa ombi langu ,mtoto wetu wa kwanza atasoma shule za kata lakini zilizoboreka,kwani hata kama sisi tukishindwa mtoto huyu kwa harakati zake hatakubali kukalia mawe au kusomea chini ya mti.Ndoto hii haikomei hapo,inaendelea kueleza kuwa utakuwa mama wa mfano wa kuigwa ukiwa nami.Kwa uchunguzi wangu wa haraka inaonesha tuko fani moja,ubishi na harakati hazitaishia mjengoni bali hata nyumbani,utadai haki unayostahili na utapewa.

Juhudi zangu za kukupata na kukutana nawe live zimegonga mwamba,inaonekana wengi wao hasa ambao nimejaribu kuwaeleza wanipatie contacts zako walinibania,nadhani lengo lao ni kama langu lakini wenyewe ni midomo zege hawawezi kuongea na kujieleza.Mheshimiwa nina uhakika hautaniacha kwenye foleni,kiukweli nimekudondokea!!!!!!!!!!!!!!!!!

Freeman Mbowe unamjuwa au unamsikia tu?
 
Hiyo kali. Ukisoma kwa undani utaona yuko ki maslahi zaidi. Nitakusaidia kuzifikisha hizi salamu.
 
Wanaume tuna kazi kweli,yaani mtu mpaka unajieleza hivyo humu jukwaani kisa nini?Unataka kumvua nguo ya ndani mwingine dah!!!Kila la kheri muheshimiwa...
 
Je ni kweli unampenda?
Endelea ku boresha hizo lyrics, contact zake siyo tatizo, after all wabunge wana ofisi majimboni, kwa hiyo unaweza kumwona personally kama mpiga kura wake, then ukawasilisha lyrics zako
 
Yote hayo ni llini mlalieni mkiwa watupu .ak.a muunganishe vikojoleo vyenu, this is very very funny...
 
mheshimiwa sana,

pole na majukumu.

Kawaida ya binadamu makini na mahiri ni kuthubutu kufanya kile anachoamini ni sahihi.kuikweli mtazamo wangu kuhusu wewe mheshimiwa ingawa ni wa kiharakati lakini upande wa pili wa shilingi ni kwamba unaniacha hoi sana.huwa najiuliza kwanini hisia zangu kwako hazikomi lakini sijui ila inatosha kusema kuwa nimekudondokea.

Ndoto zangu niziotazo kwako ni kwamba nikibahatika kukubaliwa ombi langu ,mtoto wetu wa kwanza atasoma shule za kata lakini zilizoboreka,kwani hata kama sisi tukishindwa mtoto huyu kwa harakati zake hatakubali kukalia mawe au kusomea chini ya mti.ndoto hii haikomei hapo,inaendelea kueleza kuwa utakuwa mama wa mfano wa kuigwa ukiwa nami.kwa uchunguzi wangu wa haraka inaonesha tuko fani moja,ubishi na harakati hazitaishia mjengoni bali hata nyumbani,utadai haki unayostahili na utapewa.

Juhudi zangu za kukupata na kukutana nawe live zimegonga mwamba,inaonekana wengi wao hasa ambao nimejaribu kuwaeleza wanipatie contacts zako walinibania,nadhani lengo lao ni kama langu lakini wenyewe ni midomo zege hawawezi kuongea na kujieleza.mheshimiwa nina uhakika hautaniacha kwenye foleni,kiukweli nimekudondokea!!!!!!!!!!!!!!!!!

kujieleza kote huko ni ili ulale naye mukiwa waupu, au tuseme mugusanishe vikojoleo vyenu?? Kwakweli people are very funny caricatures
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom