Recent content by Movement 4 Change

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuwaulize kabla hatujawahukumu, tutafakari na kuamua pamoja!!

    Mwigulu alikwenda kukagua kama kuna wanafunzi wengine wanasomea majina ya wenzao kama yeye. Lakini akakuta wote majina ni yao na alali. Unajua ukisomea majina ya wenzako unatapatapa sana:target:
  2. M

    JamiiForums Tanzania SWALI: Je CCM inakula matapishi yake?

    bila shaka wameshakula matapishi ya magamba na ndio maana baada ya kuvuliwa yanaelekea kuwa vazi rasmi na hii imeonyesha kuwa ccm ni chama cha upinzani baada ya uchaguzi unaokuja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chagulani: Wenje ni chanzo cha migogoro Mwanza

    wenje anakumbana na baadhi ya virusi toka ndani ya cheni ya ufisadi iliyokuwepo na inayotaka kuendelea
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

    TBC ingelikuwa chama cha siasa basi hao ni ccm b [dcm kanyanga twende]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    KAmanda karibu sana ila usiwe kama baba yako mambo ya kiccm cccm hatunayo cdm
  6. M

    JamiiForums Tanzania Live from Dodoma: Wagombea CCM nafasi mbalimbali 2012

    Kamata mafishadi fishadi,
  7. M

    JamiiForums Tanzania mkutano wa Chadema Arusha

    Na hii ndiyo peoples power
  8. M

    JamiiForums Tanzania Alianza Mukama, Kinana then Nape

    'Every generation has a mission'-CCM is becoming an outgoing part and other are enetering! Peoplesssssssssssssssss.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Operation mchakamchaka na mabilioni kutoka nje/ndani

    Hana lolote,wananchi wao ndio wnaohitaji mabadiliko,na kama cuf wanataka kuwa salama watambue hivyo na wapige kazi isiyokuwa ya kiccm ccm!!!!!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

    Si ndio maana mpesya kamfukuza diwani wa cdm kule kahama asile chakula wakati wa mziara ya waziri mkuu!!!!!!!!!!!!!!ccm ni ufisadi ufisadi tu!!!!!!!!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

    Hakuna kwenda basi,yeye ashaongea ujinga ujinga hakuna sababu ya kumuabudu,muacheni hadi hapo aliyempya ujeuri atakapo ona hafai.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

    pEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS,SULUHISHO ONDOA SERIKALI MYA CCM WEKA SERIKALI YA CHAMA KINGINE 2015. KAMATA WALIOFILISI NCHI SHITAKI WAKITIWA HATIANI TAIFISHA MALI. WALIOUA WATU PELEKA THE HAGUE,WEKA SAWA KATIBA PUNGUZA MADARAKA YA RAISI,ONDOA WAKUU WA WULAYA TEULIWA...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyasi mwili mzima !!

    Agnes naskia anapenda sana kitu hiyo!!!!!!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

    Chande ameona hiyo???? Hiyo ni tosha kumwambia uamuzi wa kifisadi fisadi wananchi wameshauchokaga long long ago!!!!!!!!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake Arumeru mashariki wampa onyo kali NAssari.

    Hao wamama wamejitambulisha kuwa ni wanaccm,wametota kabisa. Hawana jipya,si wamwambie JK naye atekeleze yake maana naye alihaidi na akashinda;si ndiye mkuu wa dola. Pia wakae chini wajue kuwa cdm huwa haigawi pesa, ccm ndio wanao gawa pesa
Back
Top Bottom