PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

Mkuu kitero, umetusahau Mbeya, Magamba yanajuta mkoa huu kuwa sehemu ya tz.

ok safi sana makamanda kama mlisha fikia hatua hiyo.kazi kubwa imebakia Udom Tanga,Lindi,Mtwara,na hivi vimkoa vidogodogo.
 
102_6503.jpg

Nimeipenda sana hii ina ujumbe tosha!

Hapo hakuna wali, posho wala usafiri wowote uliotolewa kuwahadaa watu wahudhurie. Magamba pressure inapanda, pressure inashuka, pressure inapanda, pressure inashuka.
 
lol kuna hao makamanda watatu waliovaa sare mmojawapo nimesoma nae chuo toka lini amejiingiza na siasa?? duh kumbe watu wameamka aisee uwii nimecheka sana ni mimi tu niliyebaki im coming home soon
 
Kufa na kupona na M4C ni miradi miwili tofauti.
Ritz nitafurahi sana kama mikoa mingine itachukua demo la mikoa ya kanda ya ziwa na kule Arusha. Mimi nahamasisha mkoani mwangu na hii harambee ya kufa na kupona na kampeni za nyumba kwa nyumba na kitanda kwa kitanda ni lazima nigharimie kwa hali na mali.
 
Hapo hakuna wali, posho wala usafiri wowote uliotolewa kuwahadaa watu wahudhurie. Magamba pressure inapanda, pressure inashuka, pressure inapanda, pressure inashuka.

Nataka nimsikie Nape Manuye!!! Yuko nje ya nchi au kalazwa? Kimyaaaaaaaaa kama maji ya chemchemu!!! Atakuwa anapumulia mashine!!!
 
102_6537.jpg


Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Mh Godbless Lema akiongea a wananchi nje ya ofisi ya chama mara baada ya kutoka mahakamani leo.

SURA YA MATUMAINI MAKUBWA NA USHINDI KAZINI

 
102_6480.jpg


Gari ya polisi ikiwa inapisha maandamano yapite
; tujionee hapa jinsi gani ilivyokua vigumu KUZUIA MVUA KWA KIPANDE CHA KANGA
 
102_6482.jpg


Hapo pichani ni 'Nguvu ya Umma' ikijitokeza yenyewe tu bila hata kufuatwa majumbani kwa rushwa ya 5,000/-, T-sheti, ahadi ya ubwabwa wala kusombwa kama kuni kwenye mi-lori inayonyweshwa fedha za Uswisi.
 
102_6497.jpg


Msafara wa aliekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjii ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama.

Hapo ni picha inayoonyesha 'Nguvu ya Umma' ilipoamua kufunga biashara zote jijini Arusha na kuanza kuonyesha MSHIKAMANO MKUBWA KIROHO, KI-MWILI na KI-AKILI KATIKA KUSIMAMIA KILE WANACHOKIAMINI (Kuwapa MAFISADI likizo ya kudumu kuondoka madarakani na kumkataa Batilda Buriani na kila kitu chake Jijini Arusha).
 

102_6503.jpg


Pale ambapo akina mama wenyewe wanasema 'CHADEMA Nguvu ya Umma' kihivi, je ni nani tena wa kutuzuia ... Gaudence Lyimo, Chatanda, Batilda aau kwenyewe kwenyewe Magogoni ...?????????
 


102_6540.jpg


Wananchi wakiwa nje ya ofisi ya chama wanamsikiliza aliyekua mbunge wa arusha mjini-Chadema Mh Godbless Lema.

Hapo juu WaTnzania wenye mapenzi mema na CHADEMA waonekana kila mmoja na alama ya swali usoni wakiuliza; je mlipoamua kufunga Uwanja wa Unga Limitedi pa miaka nenda rudi sasa imesaidia nini kutuzuia kutekeleza haki yetu ya kikatiba kukusanyika pamoja kama hivi popote pale kuwasikiliza viongozi wetu tuwapendao kwa hiari bila rushwa????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom