Operation mchakamchaka na mabilioni kutoka nje/ndani

SAGANKA

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
313
202
Nimejiuliza sana kuhusu ukimya wa kilaza nape tangu mauaji ya moro na iringa, hajasema chochote,kulaani wala kubariki.Nafahamu kwamba kwa unafiki tu angejitokeza kulaani,suala la kubariki sikulitegemea sana kwasababu kwake ingekuwa marudio,maana ccm/serikali tayari walishabariki.

Hivi karibuni cuf wametanganza operation mchakamchaka,tena wameweka wazi kuwa awamu hii ni kwa mikoa sita,nape hajazungumzia kuhusu upatikanaji wa pesa kwa ajili ya oparesheni hiyo.Hapa namaanisha hajaihusisha na pesa chafu kutoka chanzo chochote. Amerdhika nini na hii oparesheni.Mbona cdm walikuwa hawajaenda hata mikoa mitatu tayari akatangaza uingizaji wa pesa chafu. "Au anataka kutuaminisha kuwa pesa chafu ni kutoka nje tu,hii ya ndani tena kutoka ccm kwenda cuf kwa ajili ya kufuta nyayo za cdm ni safi".Kwa kuwa wewe ndiye mratibu wa pesa chafu,tunaomba utangaze chanzo na uchafu au usafi wa pesa ya operation mchakamchaka.
Najua unapitapita sana humu,tusaidie kwa hilo.
 
Oparesheni mchakamchaka = pilipili hoho
Oparasheni sangara = pilipili kichaa.

Inayowasha utailalamikia tu.
 
Hana lolote,wananchi wao ndio wnaohitaji mabadiliko,na kama cuf wanataka kuwa salama watambue hivyo na wapige kazi isiyokuwa ya kiccm ccm!!!!!!!
 
Kwa sasa anawaza kesi inayomkabili,kumbuka anatakiwa akamhakikishie mh.jaji mabilioni ya pesa chafu ambazo chadema inapata toka nchi za nje.
 
achana na huyo kilaza nape, sanasana atakulowanisha na mate tu yanayomtoka mdomoni akiwa anabwabwaja. kajaa jazba tu bila hoja.
 
Back
Top Bottom