Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,833
Barabara zinajengwa na sugu ?
zinajengwa na mafundi nitakutafutia jina la mkandarasi
Barabara zinajengwa na sugu ?
Barabara zinajengwa na sugu ?
Hee kumbe wahanga wa mafufiko? sasa cha ajabu nini? mi nlifikiri hicho chakula anaenda kugawa kijiweni kwa watu waliokaa tu bila kazi! inaonyesha ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri na roho mbaya pia, kwa hiyo ulitaka watu waliopatwa na dhahama hiyo wasipewe chakula?Inawezekana wewe ndio unaota kuwa kuna mtu anaota.
Angalia hapa...
Truth Well Told: SUGU ALA XMASS NA WAHANGA WA MAFURIKO WA IYUNGA MBEYA, ANTI VIRUS NAO WACHANGIA GUNIA 40 ZA MAHINDI
Hee kumbe wahanga wa mafufiko? sasa cha ajabu nini? mi nlifikiri hicho chakula anaenda kugawa kijiweni kwa watu waliokaa tu bila kazi! inaonyesha ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri na roho mbaya pia, kwa hiyo ulitaka watu waliopatwa na dhahama hiyo wasipewe chakula?
mbona mgumu kuelewa mkuu? nani aliyesema wahanga sio wakazi wa mbeya?Nyinyi vijana wa muziki wa kufokafoka wakati mwingine huwa na matatizo sana!
Kwahiyo wakazi wa Mbeya ni watu wa vijiweni tu na wahanga wa mafuriko siyo wakazi wa Mbeya?
Sasa mshaurini angalau asafishe cheti chake cha Form 4 basi. Kuwa na mbunge aliyepata pointi 33 nayo si kitu kizuri kwa kweli. Kama mnampenda kweli basi jaribuni kumpa ushauri kwa hili.
Sasa kuwa na kiongozi dr ambaye hafanyi lolote bungeni kuna manufaa gani?
mkuu cheti hakiliwi.Wangapi wana vyeti safi lakini wanateseka na maisha haya.Nipe mifano ya watu walio soma sana pia ni matajiri.Shule na maisha sawa na mbingu na ardhi.
Nyinyi mko very interesting!!! Umeme ukikatika mnamlaumu Kikwete, barabara zikijengwa mnampongeza Sugu...