mkuu minyoo hiyo ilikuwa kitambo uingereza waliweka visa free for south africa. zambia na malawi then wakagundua some people from nigeria na senegal wana abuse south african travel document (passport) wakafutilia mbali hiyo kitu sasa hivi kutoka malawi na south africa ukitaka kwenda kwa qeen...
Kaza roho soldier
Wanawake ni kama bible unaweza kuishi naye miaka 20 na usimuelewe
End of this relationship may be its the beginning of another new beautiful relationship
Man up!
Pole sana ndugu yangu
But mocambique imeoza yaani ni corrupt vibaya..polisi..traffic polisi...hata uhamiaji pale bodapost
Yaani kila kitu rushwa rushwa na hawataki mahela yao nilikatiza hapo kutoka south africa kwenda malawi yaani wasumbufu wanataka rands na usd
Next time kaka just wape 5000...
Hii draw ya leo hakika sio nzuri kwetu if we still having a spirit of chasing the title...
Lets pray for southampton iwatulize kidogo chelsea
Mpaka sasa 24 min southampton wako mbele goli 1 chelsea nil
Sure wasafi president ....davido kachukua award bet lakini kashare picture na tight hug from diamond nimeipenda hiyo...inaonyesha tatizo ni letu supporters wenyewe kimtindo wako poa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.