coz mm mwenyewe
iimenitokea juzi tu,maneno ya kuambiwa lakini ni ya kweli kabisaaaa kaenda kutambulisha mtu kwao at the same time
anachat na mm kaaah! kwa kosa hlo nimsamhe mtu.. hahahaaa neva,
Aisee waname mnakera sana, ila ipocku tu
Pole@ipocku. So, is the door open??:becky:
Mwanaume halii ki..sen**he. Kaza moyo
siumenambia zao za baridi... ntakua sifaidi uko!!!
Decent people mnaumizwa sana kwenye mahusiano...pole chalii angu!!!
Ni kweli unfair.. stop be unfair to your self... kumbe ukiumizwa unakiinglishi kizuri
Yaaan mtu kaumizwa halafu bado anaongea kingereza sijui huo moyo katoa wapi lol..
Hata sielewi aisee tena kizuri hicho kinakuja nikiwa nimepata gongo na mbege ndiyo kinakuja
naona unalalamika kama x wangu anavyolalamika nw
Nachoweza kusema ni nn umemtendea binti wa watu mpaka akuache? nauliza hivi coz mm mwenyewe
iimenitokea juzi tu,maneno ya kuambiwa lakini ni ya kweli kabisaaaa kaenda kutambulisha mtu kwao at the same time
anachat na mm kaaah! kwa kosa hlo nimsamhe mtu.. hahahaaa neva,
Aisee waname mnakera sana, ila ipocku tu
Yaani mtu akiondoka kwenye maisha yako shukuru Mungu, maana huwezi jua ungemuoa ndo maumivu yangekuwa makubwa. Wa kwako yupo Muombe Mungu tu , when loves end life has to continue
Hapo ndipo tunaposema umekua kimapenzi maana baada ya muda utakuwa imara kama chuma kwa sababu ya pito hili.
Pole suck it up and move on...acha kulialia...
ni pm nkupe namba za Toto.....urejeshe mrejesho, ana heshima balaa
Hahah kaka ngoja nitulize kichwa kwanza kabla sijaanzisha mahusiano mapya