Recent content by motema yapembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazindulia msibani kampeni uchaguzi Sinza C

    ni kweli tumefiwa na dada yetu Hidaya Magembe, na msiba tulizika alhamis, hivyo basi siku za Kampeni zimetolewa chache sasa unategemea kwa hali hii utafanyaje? tunajua mzee bado anamajonzi lakini kwasababu eneo la wazi ni pamoja na eneo lililo mbele ya nyumba yake hakuna budi kutumika kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    duh alimaliza akataka kuondoka , mara jamaa wamemzuia wanampa salaam kah!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Magufuli apokea Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam bandarini Dar

    umenena mkuu hasa tegeta
  4. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    dr.slaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Star Tv LIVE: Jicho letu ndani ya habari

    said kubenea anajitahidi sana kuwapa wananchi habari za uhakika, ila najiuliza anajihadhari vp juu ya yeye kufanyiwa uovu kama Dr.ulimboka?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Leo kamanda. wa police wa Dar es salaam Amevieleza vyombo vya habari kuwa alie mkamata ndie mtuhumiwa na alikuwa Kwenye ibada ya three 13/07 2012. hivyo sijui mchungaji kasema nn!, amesha pelekwa mahakamani hivyo hairuhusiwi kuhoji jambo lolote lililo mahakamani! his ndo bongo bana! source...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    nimemsikia vizuri sana huyu mama akiihusisha chadema na tukio la Dr kupigwa, nilicho kinote hapa ni jinsi wabunge wa ccm wanavyoshabikia nakufurahishwa kupigwa vibaya na kuumizwa kwa Dr ulimboka Kwa kweli hili ni jambo ambalo sikutegemea kuliona kwa mbunge yeyote hasa ukizingatia anaonekana na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu yalijibu Gazeti la Dira ya Mtanzania: Yataka watoe majibu au wachukuliwe hatua...

    mmmmmh watadhubutu, hapo walimwambia dogo aachane na hiyo issue ya slaa coz wanaweza likoroga zaidi wakitaka evidence!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku za Mwisho Miti yote huteleza

    hii kama drama tungeitengenezea movie ingevutia sana.!
  10. M

    JamiiForums Tanzania NEWS ALERT: Nape anahojiwa LIVE Channel Ten

    mimi nimefurahia jinsi watu wanavyo piga simu kuchangia bila woga wote wanataka serkali yote ing'oke! na ktk cm zote 10 za mwanzo hakuna hata mmoja anae onekana kusaport ccm, duh watu wamebadilika.!
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    usitumie ushabiki, Hapa inadhihirisha jinsi serkali ya ccm inavyo jiendesha kwa kufuata hisia na matakwa ya chadema! Jk akiwa kama kiongozi anaejiamini ilipasa kusimamia analoliamini!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    naanza kupata wasi wasi, naanza kuamini kuwa TANZANIA DAIMA lilisema ukweli!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    jamani ndio anahitimisha kwa kuwatakia wajumbe wote safari njema. wabunge naona kimya hawapigi hata makofi...,!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    haaaa... sasa hivi kaanza ngombe, dume, jike, mbuzi, kuku, bata. ...!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    duh nilikwa na hamu ya kuona serkali mpya, looh nachoona pinda anachoongea chenga tupu...! duh bongo du kinaa!
Back
Top Bottom