Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

Watawala waelewe kuwa kwa kusema serikali inahusika wasihusianishe na Kikwete au Pinda.
HYPOTHESIS:
Ilivyo ni kwamba Ulimboka alichukuliwa kama mhalifu au mtu anayehatarisha uslama wa taifa. Alichukuliwa kama mtu wa madawa ya kulevya au jambazi na vumbo husika hivo walimfuatilia na kufanya walilofanya kama ambavyo wangeliweza kuwafanyia majambazi. Kwa kufanya hivo hawakuwa na haja ya kuwafahamisaha waliokuwa juu kama ilivyo kwa majambazi au wahalifu wengine. HUKO NDIKO KUHUSIKA KWA SERIKALI. WALICHUKUALIA HISIA ZA VIONGOZI WA AINA YA STELA MANYANYA NA KUTEKELEZA HAYO MAOVU
 
Ndugu wana JF wenzangu, nadhani turiishie kuilaumu hii maiti inayotembea iliyosema kuwa Chadema wanahusika na mgomo wa madaktari.

Tunaomba alete ushahidi wa maneno aliyoyasema. Hii mi'nyinyiem wao wapo makini sana wa kuzima agenda zetu kwa kutaka tupeleke ushahidi wa maneno yetu

waheshimiwa wangu Lissu, Mnyika etc, naomba mshinikize huyu mama alete mbele ya bunge ushahidi wa maneno yake haya ya uchochezi, akishindwa achukuliwe hatua kali sana. Sitoelewa mkinyamaza ktk hili, na alete ushahidi huu ktk kikao cha bunge, aisome wote tusikie kama alivyotushuvmu kwa sauti leo. Plz plz
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi. Pia amesisitiza waliompiga ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya chadema.

Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.
Sina hakika kama hizi fikra zina akili. Anyway, jambo la msingi ni kuwa huo uchunguzi utuoneshe ni nani mhusika, kuimba tu ni ccm au cdm, hakuna maana. Nadhani kama ni cdm, majibu ya uchunguzi yangeshapatikana hata ndani ya siku moja, maana serikali ya ccm ndiyo iliyo na vyombo vinavyofanya uchunguzi. Kwa vile mhusika sio cdm, labda ni ccm au yeyote yule aliyetumwa na ccm, basi hatushangai kama hatutasikia chochote juu ya uchunguzi huu. Hakuna haja ya kuendelea kubwabwaja maneno..huyo eng. atoe michango ya kuwakilisha wananchi wake waliomtuma kuliko...
 
1. Ni kwanini wabunge wa CCM wanatumia nguvu kubwa kuzima hii hoja ya Dr Ulimboka?

2. Ni kwanini siku 5 zimepita hakuna hata mtu mmoja amekamatwa kuhusiana na huu unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka?

3. Stella Manyanya ana information gani kuhusiana na unyama huo?

4. CCM ndio wenye serikali, kwanini wasiwakamate watu wanaoona wanaleta mtafaruku kwenye sekta ya afya kama wanaona wamevunja sheria?

5. Stella Manyanya anaamini madaktari wa Tanzania hawana akili/utashi wa kuamua bila ya kusukumwa na mtu?



kinacho nishangaza mkuu hapa ni kwamba kuwa walisema swala la migomo liko mahakama na wao ccm ndo wamelianzsha why?
sasa yeye ana ushahidi gan kusema waliomtesa ulimboka walikuwa wamevaa
magwanda!? Kama sio uvumi
na kama uvumi Mnyika kasema vyombo vya habar vimendika pamoja na wamemrekod Ulimboka mwenyewe kuwa waliomtesa ni police! Why?
Ikabdi wamkalishe kwa ubabe wao!
 
alianza vizuri yeye ni msomi katika wasomi wa nchi hii kumbe pumba tupu anafurahia ulimboka kupigwa kiasi kile kweli ana ubinadamu huyu
 
Jamani wakuu..tafadhal mtu aweke in brief kinachoendelea huko.wengine tuko mbali na tv..

Wakati anachangia Stella Manyanya alihusisha Chadema na mgomo wa Madaktari ndipo John Mnyika alipotoa taarifa kuwa yeya akiwa Kiongozi wa CDM anasimama na kuhakikisha kuwa taarifa hizo ni za uongo na....yaani kutokea hapo ikawa valuvalu mara naye Mwigulu akasimama na kutoa madai ya uongo eti CDM kwenye hotuba yao kuna ushahidi wa kutoa sapoti ya mgomo huo...
Manyanya naye akaendelea kuchangia kuwa eti waliomvamia Ulimboka walikuwa wamevaa magwanda ya CDM....Mwenyekiti naye akawa anawaunga mkono, wabunge wakaanza kupiga kelele, Machali akatolewa nje...
 
nimemsikia vizuri sana huyu mama akiihusisha chadema na tukio la Dr kupigwa, nilicho kinote hapa ni jinsi wabunge wa ccm wanavyoshabikia nakufurahishwa kupigwa vibaya na kuumizwa kwa Dr ulimboka Kwa kweli hili ni jambo ambalo sikutegemea kuliona kwa mbunge yeyote hasa ukizingatia anaonekana na wananchi wake!
 
..............?????????????????????????????????????????????

Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi. Pia amesisitiza waliompiga ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya chadema.

Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.
 
hii ndiyo effect ya kuleta wauza bar bungeni simply wanafurahisha wakubwa kwa kuwakatikia viuno mwanana
 
Ndio hasara ya kuwa na wabunge wa viti maalumu....angelikuwa mbunge wa jimbo, labda angejitahidi kuongea pointi za maana kidogo, lakini ubunge wa viti maalumu, ukuu wa mkoa wa hisani ya JK, kazi kweli kweli....eti anachochea Ukabila kwa kuwa tu madaktari walimtibu Dr Ulimboka.....sh..en.z.i..sana huyu mama.
 
kumbe mwenyekiti mipasho anaijua vizuri sijui hadija kopa kamfundisha kuimba tot taarabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom