Star Tv LIVE: Jicho letu ndani ya habari

Sued Kubenea anaharibu kufafsnua kuhusu habari yake ya jumatano iliyopita katika front page iliyokuwa ikisema "aliyemteka Dr Uliboka huyu hapa.

Kwa kweli jamaa ni mzima katila uelewa wa habari.
wa mtu ambaye anaweza kuangalia tafadhali afanye hivyo ss kwani mhim sana.

Kwa nini habari hiyo tu ndo ajielelze kwenye tv? Anajaribu kutetea uzushi wake siyo?
 
Mtu unajieleza kwa kujiamini kwasababu ulifanya reserch makini. Tunawapongeza STAR TV kwa kumleta Kubenea, kwa wachambuzi makini, mtiririko uliopo ktk gazeti la MWANAHALISI unaleta hisisa kali kwa mpenda amani yeyote duniani. Tunaungana na wewe na tuko pamoja hadi tone la mwisho.
 
Kubenea kawaacha mbali sana waandishi wenzake, kuna huyu wa mwanza analalamikia kichwa cha habari cha ile story, kubenea yuko mbali sana, huyu jamaa wa mwanza anataka abadilishe heading ya ile story?
 
Kwa nini habari hiyo tu ndo ajielelze kwenye tv? Anajaribu kutetea uzushi wake siyo?

Kaka pole sana. Hivi kwa jinsi ya uelewa wako unaona habari za Kubenea ni za kizushi? Ss kama hizi ni za kizushi je za Global pubkisher utazisemaje?

Unaniangusha kwani unaonekana kukosa umakini katika kichwa chako.

Pole sana inawezekana c kosa lako mkuu. Pole mkuu ila kwa hakika kwa mtu makini lazima atampongeza huyu mtu kwani anafanya makubwa sana katika tasnia ya habari.

Anafanya uchunguzi ws kuaminika kuliko hata vyombo vyetu wa uchunguzi haviwezi kufanya hivyo.
 
Nakubaliana na Kazinja kuhusu kichwa cha habari. Hapo kubenea ameingilia madaraka ya mahakama. Mahakama ndiyo yenye kudhihilisha beyond reasonable doubt, what if mahakama ikimtaja mtu mwingine,
 
Me ntakuwa tofauti na wa tz na watu wengine wanaosema kuwa Polisi wamchukulie hatua huyo Ramadhan na wenzie hii ni kweli??
swali dogo lakujiuliza kama wazaz wamemtuma mtoto kaenda kuharibu kwa jiran; hivi jiran akileta mashtaka mtoto ataadhibiwa ipasavyo kweli!!!
 
Asante sana mkuu kwa kutushtua, nimekimbia spidi na kufungua television. Jamaa yuko fresh na amebobea. Kibonde ajifunze sana kwa huyu jamaa. Sio tu anaropokaropoka.
 
kubenea alichokiandika ni ukweli mtupu wala hauhitaji kuonekana kakurupuka namba za simu zipo kama wahusika wanaona wameonewa waende mahakamani wala wasikanushe
 
Watekaji, watesaji na walio jaribu kumuua Dr. Ulimboka kamanda na shujaa wa wataalam wa afya na wagonjwa masikini wa Tz (wagonjwa matajiri hawatibiwi hospitali za serikali) waliotumwa na serikali ya Chama Cha Mwabepande ni Waislamu (rejea kwa uangalifu habari ya Mwanahalisi ya Jumatano)
Cha kushangaza Waislamu ndio masikini zaidi hivyo ndio wangefaidi zaidi kama mazingira ya utoaji huduma yangeboreshwa
If CDM=WAKRISTO then CCM=WAISLAMU
Anyway tuuvunje Muungano kwanza. Let Z'bar Go!
 
Back
Top Bottom