Recent content by mossad 03

  1. M

    Je, Katiba yetu inamruhusu Rais Samia kukaa miaka 15 Ikulu?

    Heshima kwako Pascal Ni kweli mleta mada amekosea kwa kutumia neno kukaimu Uraisi Pamoja na hilo, ameleta hoja nzuri na fikirishi ( atleast kwa tusio na uelewa wa kutosha wa Katiba, japo najua kuna wengine ni wasomi wa sheria na hawana jibu la uhakika kwenye hili swali) Mleta mada katoa mifano...
  2. M

    Rwanda Vs Uganda nani atashinda Vita?

    Huwa hamna makubaliano ya silaha zipi zitumike unless ni vita ya kuzugia ikiwa na agenda nyuma yake (mfano kutengeneza mgogoro/vita ili kupata nafasi ya kufanya biashara au deals za magendo). Jumuiya za kimataifa zinaweza kuhakikisha hamna matumizi ya biological weapons au nyuklia but ni ngumu...
  3. M

    Wanaume tujifunze ni Vitu gani viwepo Geto vya kumdatisha Mdada ili arudi tena?

    Cha muhimu Ghetto liwe na Hela mkuu, vingine vyote ni nyongeza, respect!
  4. M

    Hivi kwanini Ruaha National Park ambayo ni kubwa kuliko mbuga zote Afrika Mashariki haina hoteli za kisasa na kama ilivyo Ngorongoro?

    Wanapatikana Ruaha Pekee kwa Tanzania au Africa Nzima? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Without prior notice? You need to go through the following statutes again The Land Act Cap 113 (R.E 2002) The Village Land Cap 114 (R.E 2002) Land Acquisition cap 118 (RE 2002) You have a fair understanding of acquisition (and land) laws but the issue you talked about hapo juu needs better...
  6. M

    Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

    Endeleeni kuhama hama sisi tupo Airtel miaka nenda rudi na ma bundle ni sexy vilevile Yaani kama umeoa mke miaka 8 afu kila siku unamuona mbichi mpyaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Deal ya sancho ndo basi tena kwani tulikua na agreement yoyote ya kumnunua Sancho au tunamtaka tu kama clubs nyingine zaidi ya 8? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

    johnthebaptist, Mama Mghwira spoke her mind juzi jumapili, aliongea sincerely na kwa hisia sana, na waziwazi akaonesha haridhiki na aina hizo za ibada (kukanhaga mafuta n.k.) tafuteni interview yake ya jumapili kwa millard ayo. Jana kwenye ibada kaongea kitu tofauti kabisa na kaja na story...
  9. M

    Cold War Espionage: Makomando wa KGB walimhoji na kumfanyia recruitment Senator John MacCain alipochukuliwa mateka (Missed In Action) vita ya Vietnam

    Nimewahi jiuliza sana hilo swali, nilifikia conclusiob kuwa ni kutokana na Mrengo wa nchi among other things, Nchi za kisocialist na communist kunakua hakuna uhuru binafsi wa watu wanaofanya kazi kwenye idara za usalama, na hakuna separation kati ya maisha binafsi na ya kazi, while Marekani na...
  10. M

    Bomba La Mafuta: Total SA yasitisha rasmi mpango wa kujenga bomba la mafuta la Tanga-Hoima

    Sio kweli, usiwe zuzu. Taarifa rasmi hiyo hapo juu, umeona any of reasons ulizozitaja kwenye hiyo taarifa?
  11. M

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Manzi kakuzima vitu vya ndani? Dah Yani kaenda kukodi Carry/ Canter intetionally kabisa aje asombe vitu, aisee mamanzi wa DIT wameshindikana..
  12. M

    Ulianzaje kukaa gheto?

    By the way uzi ni wa 2018( almost a year now), tupe progress na experience umefikia wapi sasa mkuu?
  13. M

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Vijana wenye option ya kurudi nyumbani baada ya chuo huwa mna changamoto sana, chuma kikipata moto tu unarudisha mpira kwa kipa, kwa wenye mazingira ya “you are on your own” soon baada ya kuanza au kumaliza chuo huwa hawapati shida hapa, maana kwao there is no turning back Back to your questions...
  14. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Mgodi wa Bulyanhulu unajua una mineral reserve kiasi gani? Migodi ya wachimbaji wadogo je? Na kahama kuwa Junction/ highway ya Kigoma, kagera, Rwanda, Burundi na Uganda je? Umejibu kipambe na kishabiki hujafanya comparison umejibu ka mshabiki/ mkazi wa njombe
  15. M

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Usinunue deep frier ya dukani ka una mipango ya muda mrefu kwenye hii biashara, Kachonge deep frier kubwa na zenye uimara na uwezo zaidi kwa wale wachonga majiko wa keko gerezani karibu na workshop ya Bakhresa
Back
Top Bottom