Recent content by MOSOLIN

  1. M

    Chairman

    Anapata juice kidogo....kwenye eneo hili yuko vizuri
  2. M

    TTCL wameshindwa kusimamia mtandao wa internet nchini?

    Lokissa,nikweli kabisa TTCL kwasasa kuna matatizo ya mtandao,mimi ni mteja wao natumia kwenye Internet cafe,connection iko mbovu kabisa na wala sihapa hapa kwangu ndio kuna tatizo,bali liko TTCL na ukipiga simu wanakwambia zima modem washa baada ya dakika 5,lakini bado tatizo lipo pale...
  3. M

    Nguvu za kiume ni nini hasa?

    Vile vile kama unatabia ya kupiga punyeto mara kwa mara nguvu za kiume zinapungua....
  4. M

    Bus la Dar express lawaka moto.....

    Bus la kampuni ya Dar Express lilokuwa likitoka Dar kwenda Rombo,liliwaka moto maeneo ya Kabuku,kwa taharifa ni mtu mmoja ndio aliye jeruhiwa na kukimbizwa hospital,ambaye ni fundi wa basi hilo,abiria wanadai kuwa basi lilikuwa mkweche kiasi kwamba wakiwa njiani vehicle inspecta alilikangua na...
  5. M

    Waliomuibia mke wa Dk Slaa Mbaroni

    Sio mwanamke aliezaa na DK Slaa bali ni mke wake,ukisema hivyo anaoneka kama kimada,wakati ni wife na alimtangaza rasmi kwenye kampeni za urais pale jangwani......yaani alikuwa awe first lady wa TZ
  6. M

    Ruto allies plot to depose Raila in ODM fights

    Obe..bila shaka wewe ni majaluo,huwezi kuwa judge mzuri kwenye hili...
  7. M

    Another Reason Why South Korea Developed so Fast and Kenya is about to JOIN them

    Tatizo lenu nyiwe wakenya,mnapenda sana kuendekeza ukoloni yaani kwenu mzungu ni kama mungu mtu,nilishawahi kufanya kazi na mkenya kwenye kampuni ya mzungu,yaani allikuwa anajipendekeza yuko radhi alambe ata makalio ya mzungu....ata yule mzungu aliye ua watu wawili kenya alifungwa miezi tisa...
  8. M

    Ruto allies plot to depose Raila in ODM fights

    Namuona Raila kama ni msaliti,kina Ruto walipigana kufa na kupona wakati wa uchanguzi ili yeye awe rais,leo hii kawageuka anataka wapelekwe The Hague....hivi huyu Raila ana shukrani kweli,ata kama kina Ruto walichochea vurugu,lakini ilikuwa kawa ODM ishinde na Raila awe rais.....kwa style hii...
  9. M

    heee timu ya Ngasa ya bamizwa 7-0! Na manchester utd.

    Watamjua yeye nani kivipi,kwani katika mafootballer Ngasa naye yupo??
  10. M

    Rais Kibaki achoma pembe za ndovu!

    Waziri wetu wa utalii Mh.Maige ailkuwepo kutuwakilisha,sasa ni sisi sijui tutachoma lini maana kuna kipindi tulijaribu kuziuza tukashindwa....
  11. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Habari ya kusikitisha kama hii wewe unalete joke zako za ajabu hapa.....!
  12. M

    Jairo ajiuzulu wadhifa wake

    Kalidanganya bunge kivipi wakati waziri mkuu amekubali,kuwa wamechemka na angekuwa na mamlaka angefukuza kazi kwahiyo kamripoti kwa rais ili atimuliwe.....huo mchezo wa kuonga ili budget ipite uko sana,ila kwa wizara hii lime bumburuka.......!
  13. M

    Balozi Amina Salum Ali Alipomtembelea Rais Jakaya Kikwete

    kwani kutokuvaa lemba ndio msomi,kwanza mwanamke akivaa lemba ndio anapendeza zaidi kuliko hiyo minywele bandia aliyo weka....
  14. M

    Wateja wa tigo tigo yaani mtandao wa tigo

    Nikiwa kama mteja wa mtandao wa TIGO nakereka sana na ujumbe wa kibiashara unaotumwa mara kwa mara.....Mkurugenzi wa TIGO kama una jali na kudhamini uhuru wa wateja wako tafadhali acha kabisa kuwasubua na hizo msg zako zinazo ingia ata mara 7 mpaka 8 kwa siku.....nakupa siku 2 tu la sivyo...
  15. M

    Je Serukamba ni Mkweli kuhusu Dowans?

    Huyu Serukamba ni mropokaji tu,ni mtu ambaye anajua kujipendekeza sana,na anapenda watu wenye uwezo,ndio maana ana babaikia mafisadi....,lakina hana point katika hili,wa kupuunzwa tu....
Back
Top Bottom