Nikiwa kama mteja wa mtandao wa TIGO nakereka sana na ujumbe wa kibiashara unaotumwa mara kwa mara.....Mkurugenzi wa TIGO kama una jali na kudhamini uhuru wa wateja wako tafadhali acha kabisa kuwasubua na hizo msg zako zinazo ingia ata mara 7 mpaka 8 kwa siku.....nakupa siku 2 tu la sivyo nitahama kabisa TIGO na litakuwa pigo kubwa sana kwa kibiashara kwani nita hamasisha UMA nao ufanye hivyo....Bila Shaka umenipata....