Rais Kibaki achoma pembe za ndovu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kibaki achoma pembe za ndovu!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Ab-Titchaz, Jul 21, 2011.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Africa sends fiery warning to poachers

  [​IMG]

  President Mwai Kibaki sets ablaze an illegal ivory stockpile on July 20, 2011 at the Tsavo National Park.

  By MARK AGUTU magutu@ke.nationmedia.com

  Posted Wednesday, July 20 2011 at 22:30


  Africa sent a strong message to poachers of its elephants by setting ablaze nearly five tonnes of contraband ivory worth millions of shillings on Wednesday.

  President Kibaki led representatives of regional governments in lighting the ivory pier at the Kenya Wildlife Service Training School in Manyani in Taita Taveta county.

  "Through the burning of this contraband ivory, we are sending a clear message to poachers and illegal traders in wildlife about our collective resolve to fight this crime in our region and beyond,'' the President said before lighting the fire.

  Poachers and illegal traders in ivory, he added, must know that their days were numbered and severe punishment would be meted to those engaging in the decimation of wildlife.

  "We cannot afford to sit back and allow criminal networks destroy our common future," he added.

  The large crowd that turned up to witness the rare event cheered as the President lit the ivory shortly after 2pm.

  The tusks, which made a seven-foot pier were piled on a fire grid bar built by Dynamic Green Technologies.

  It was doused with kerosene, donated by Total Kenya, and pumped from several gallons situated 500 metres away.

  But even as the world witnessed yet another burning of the tusks captured from poachers and dealers across the globe, wildlife conservationists demanded tougher laws to stamp out the illicit trade.

  They cited light sentences handed to poachers and dealers in game trophy as the main reason the illicit trade continued to thrive.

  This is the third time an ivory stockpile is being destroyed in Africa. Retired president Daniel arap Moi first lit fire to an ivory stockpile in 1989 at the Nairobi National Park. The Zambian government burned another pile in 1992.

  The event was the highlight of the first ever African Elephant Law Enforcement Day celebrations observed by Kenya and seven African states that have come together under the Lusaka Agreement on Cooperation Enforcement Operation Directed at Illegal Trade in Wild Fauna and Flora.


  http://www.nation.co.ke/News/Africa+sends+fiery+warning+to+poachers+/-/1056/1204988/-/gf52wpz/-/index.html
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Kenya's President Mwai Kibaki sets ablaze an illegal ivory stockpile on July 20, 2011 at the Tsavo National Park. 335 tusks and 42,553 pieces of ivory were destroyed some of which were stockpiled in the country since being seized in Singapore nearly a decade ago. AFP PHOTO/Tony KARUMBA  [​IMG]  [​IMG]  [​IMG]
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Sasa hii inasaidia nini jamani? ndio kupiga vita Ujangili? au ni nini jamani? mimi ninashindwa kuelewa hawa Viongozi wa Kenya wana matatizo ya Akili nini? Wanachoma Moto mali ya Serikali ili wawakomoe Majangili? Afrika kuna matatizo sana Mwenyeezi mungu awape akili Viongozi wetu inshallah.
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Jina sahihi ya madude haya hasa ni lipi? Kenya yanaitwa pembe ya ndovu,hapa tumezoea kuyaita meno ya tembo.Jina lipi ndilo sawa kimaumbile meno au pembe.? Waatalamu tunaomba mwongozo.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Yote tu ni sahihi inategemea wewe mwenyewe upo wapi Kenya au Tanzania? Ukiita Pembe ya Tembo sawa Au Ukiita Meno ya Tembo sawa tu ni sawa sawa Watu wa Dares-salaam wanaita Tomato ni nyanya wakati wa WaZanzibar wanaita nyanya ni Tungule ni sawa tu nyanya au Tungule, au watu wa Dar wanaita bomba la maji wakati Watu wa Zanzibar wanaita Mfereji wa maji ni sawasawa tu hapaharibiki neno.
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Pamoja na jibu lako zuri imedibidi kupiga hodi google.Jibu ni kama ifatavyo. Elephant tusk are prolonged incisor teeth also found in pigs,walrus.Hivo jina sahihi ni meno ya tembo.Kwa hili Kenya wamechemsha.
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Pamoja na jibu lako zuri imedibidi kupiga hodi google.Jibu ni kama ifatavyo. Elephant tusk are prolonged incisor teeth also found in pigs,walrus.Hivo jina sahihi ni meno ya tembo.Kwa hili Kenya wamechemsha. Google anatomy and physiology elephant
   
 8. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mimi nina wwasiwasi kama His Excellency hajapigwa changa la macho hapa. Karibia miaka 10 yote hiyo zilikuwa zimetunzwa tu? Wapi? Huko nyuma hapakuwa na nafasi ya kuzichoma? Kama kweli walikuwa na nia ya kuzichoma zote, kwa nini wasitengeneze utaratibu wa "choma as you capture", yaani papo kwa papo? Yaweza kuwa alichocgoma ni 0.0001% ya kilichokuwepo! Anyway, mawazo yangu!
   
 9. M

  MOSOLIN Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waziri wetu wa utalii Mh.Maige ailkuwepo kutuwakilisha,sasa ni sisi sijui tutachoma lini maana kuna kipindi tulijaribu kuziuza tukashindwa....
   
 10. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Na hao waliofanya tushindwe kuziuza Kenya iliuwemo kumbe ilikuwa ni siri nyuma ya pazia kuwa wana mpango wa kuzichoma za kwao.. halafu unaona yule mzungu kwa pembeni navyoshangilia.

  Kuchoma watachoma na majangili hawatakomoka bora wangeuza kwa maatisti wakatengeneza mapambo mbalimbali na nchi ikapata pesa kwani lazima kuziuza nje ya nchi? kama wazungu hawataki kuuziwa.?

  Nafikiri za kwetu tusizichome bora tuziuze kwa wananchi (ma-artist) wachonge vitu mbalimbali vya kitamaduni kama wakubwa wanaleta mkwara. kama vipi tuzigawe kama samaki wa Magufuli :biggrin1:
   
 11. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni upumbavu huo, Kenya nasikia kuna maeneo watu wanakufa na njaa na pembe za ndovu ni bidhaa yenye thamani kwa nini wasiuze na kuwapa msaada watu waokufa na njaa Kenya. Acheni ujinga viongozi wa Kenya
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Lazima wazichome moto-Nchi zinabanwa na mkabata wa kuzuia ujangili-kwamba ili kuzuia ujangili ni lazima nchi zisiwe masoko na kuzuia smuggling,
  Kwa mfano kama Kenya hawachomi pembe za ndovu-basi poachers wa TZ watakuwa wanaua wanyama huku na kwenda kuuza kenya,likewise kama TZ isipochoma wakenya na nchi nyingine majirani watakuwa wamepata soko la bidhaa zao-ndo maana hata kama ni za shs.ngapi-inabidi zichomwe tu ili kuonyesha jamii kuwa hii kitu haitakiwi-la sivyo hawa wanyama wataisha
   
Loading...