Recent content by Moshee

  1. Moshee

    JamiiForums Tanzania The invisible and visible governments of United States of America (USA)

    HERI YAKO WEWE NDUGU...
  2. Moshee

    JamiiForums Tanzania Vitisho havisaidihi kwenye uhuru wa kutoa maoni nchini bali unabomoa utanzania na uzalendo

    Mtawala Dhalimu hawezi pokea Ukweli hii ipo hata katika Kitabu kitakatifu kuna mifano Farao,Herode,Nero n.k,hao ni baadhi ya Watawala katika Historia ya Binadamu walijaribu kuuzuia ukweli lakini ukweli hutafuta Mahali pa kutokea.
  3. Moshee

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

    "Aliyemtia Ujinga Afrika anamlilia kwa yanayo Msibu"
  4. Moshee

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

    Kweli kaka Chamriho...
  5. Moshee

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

    Kaka yaelekea ni Mkazi wa Bnd..?
  6. Moshee

    JamiiForums Tanzania Final ni Ujerumani vs Chile kombe la Mabara

    Ukweli kama Huu mnausemaga wachache sana...
  7. Moshee

    JamiiForums Tanzania Kati ya Godzilla na Wakazi nani real na nani feki?

    "...mwache Jigga,mwache 50 hii inamaana stay you.." p the Mc
  8. Moshee

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa John Woka, Ras Lion ft. Nuruely - Narudi

    Samahani wadau naweza vipi pata wimbo huu?
  9. Moshee

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi kamati teule na Mh Lisu nani yuko sahihi kuhusu ACACIA?

    Watu kama Nyie Chini ya Uso wa Dunia mnahesabika...kaka Baraka Ziwe juu yako Ndugu yangu...
  10. Moshee

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Mkuu Mgusi kuna kitu unachanganya Alisema Watu wakifunga iwe Siri ni MUNGU wa Biblia ila mungu Allah yeye haitaji siri anaitaji watu wafuate matakwa yake Watake wasitake ndio maana hata Katika Historia Wengi waliuawa kwa kwa Kuto ukubali Uislam.
  11. Moshee

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuonekana tofauti na mwanamke mwenzake

    Sista uko Sahihi na hii haiishi hapo tu,inakwenda mbali zaidi hata kwenye Mambo ya Msingi katika Maisha,linapo kuja Suala la Haki za Wanawake,Mwanamke Hudhani Mwanaume ni Adui kwake bila kutambua kuwa Adui wa Mwanake ni Mwanam...ke
  12. Moshee

    JamiiForums Tanzania Nampenda huyu Mume

    Sisy Naledwa kuwa Msafi(kimwenendo na Kimwili) hakuna Atayeona Mapungufu ya Mwili...
  13. Moshee

    JamiiForums Tanzania ACACIA's CEO, Brad Gordon: Tanzania nayo itaumia isiposuluhisha mgogoro wa madini wiki inayokuja

    Kaka kwa uelewa kama Wako sidhani kama ulikulia hapa Tz:maana sisi Tulio zaliwa na Kukulia hapa hapa kwetu Ujinga sio Ukosefu wa Maarifa bali ni IMANI(ni zaidi ya Kukoaefu wa Taarifa na Maarifa juu ya Jambo Fulani)
  14. Moshee

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

    Heri Wenye Moyo safi na Wasio na Unafiki Ndani Mwao...
  15. Moshee

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuolewa na mwanaume mwenye roho ya ki-maskini

    Kama wewe "KE" wabalikiwe Watoto ww Uzao wako vizazi Vitatu kama ni "ME" ubarikiwe mkono wako katika kila jambo ulitendalo.
Back
Top Bottom