Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Had kamugegi unapajua aaahh umetisha sana mkuu
Kamugegi au Kamugendi?...najua safu za milima mirefu mkoa wa Mara ni huku Sirorisimba kuelekea Manchimeru njia ya kwenda Mugumu ukitokea Kiagata.

Home sweet Home
 
FACT :

Mlima MTIRO unao urefu wa futi 4916 a. s. l

Nimefatilia Google nikapata utafiti ulioandika na Bwana MASHAKA WENCESLAUS katika ngazi ya Master. Utafiti unahusiana na ATHARI ZA LUGHA YA KIJITA KATIKA KUJIFUNZA KISWAHILI.
 
Ni kweli upo ushahidi wa kinadharia Na kimazingira kuwa mlima Mrefu kuliko yote Mkoa wa Mara Ni Mlima "CHAMRIHO"

Mlima huu unapatikana Bunda vijijini tarafa ya CHAMRIHO, Kata ya Mgeta,kijiji cha Sanzate.
Umbali wa takribani Km30 kutoka Nyamuswa!pia umepakana Na kijiji cha Salama "A" upande wa Mashariki Na kijiji cha Mariwanda upande wa Kusini.

Na umbali wa karibu Km70 kutoka Bunda mjini.

Aidha upo ushahidi wa kimazingira juu ya uwepo wa mapango yenye hazina ya visanduku vya maajabu ambavyo kwa mjibu wa maelezo ya wazee inasemekana viliachwa Na wakoloni wa kijerumani."Binafsi nmeshuhudia"
Na kila anaethubutu kuvigusa ama kuvichukua lazima mauza uza yamtokee Na jaribio lake huishia njiani.

Nikiwa kama mwenyeji Na mzaliwa wa maeneo haya nimeamua kujibu Na kusahihisha baadhi ya taarifa mhimu kuhusu ukweli juu ya mlima huu.

1.Haupo Nyamuswa
2.Haujaungana Na mlima Balili mana imeachana kwa umbali usiopungua Km60

Nihayo tuu.

N.B..Kwa mleta mada pamoja Na watafiti nadhani huu Ni wakati muafaka kujua undani wa mlima huu.
Twambie una urefu gani
 
Mlima Rorya ndiyo mlima mrefu Mkoani Mara. Jina la Wilaya ya Rorya limetokana na mlima huu.
 
Shukrani kwa Maelezo
 
mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwa
Kweli kaka Chamriho...
 
Mlima wa pili kwa urefu ni mlima Chamriho uliopo Wilaya ya Bunda, Tarafa ya Chamriho.
 
Twambie una urefu gani
Kuhusu urefu sina majibu ya kisayansi ndio mana tangu mwanzo niliungana Na wenye majibu ya nadharia.

Nilijaribu kuwauliza wataalamu wa wizara ya aridhi,Mali asili Na utalii hakuna alietoa jibu kuhusu urefu wa mlima chamriho.

Nikuombe nawewe kama mtafiti jaribu kuuliza ofisi zinazohusika Mkoa wa Mara ama kanda ya ziwa.unaeza kupata jibu sahihi!!!
 
OK

Mimi Nimefatilia Mlima MTIRO ndipo nikapata chapisho la mtu aliyefanya utafiti maeneo hayo.
 
Kwa mujibu wa manyama (2013) wajita ni kabila mojawapo la Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Mara Wilaya ya Musoma vijijini. Manyama (2013:1-3) aliendelea kusema kuwa, neno majita lilitokana na mlima “Masita” ambao ndio chimbuko la jina la kabila la Wajita, na sehemu yao wanayokaa inaitwa majita. Mlima huu mpaka leo unaitwa Masita (mtiro) ambao ni mlima mrefu mkoani Mara wenye futi 4,916, kutoka usawa wa bahari. Hii ilitokana na kwamba, wazungu yaani Wadachi (Wajerumani) walishindwa kutamka neno “masita” badala yake wakatamka “Majita”. Kufuatia matamshi hayo watawala wa kikoloni waliweka katika maandishi, watu wote sasa wanaita sehemu hiyo Majita na kabila linaitwa Wajita.
 
Back
Top Bottom