Kati ya hizi kamati teule na Mh Lisu nani yuko sahihi kuhusu ACACIA?

Nadhani ama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ama umeamua kujitoa ufahamu. Lissu hakuwahi kusema kwamba ACACIA wako sahihi, alisema shida ya wizi wa madini ni sheria na mikataba iliyoingiwa na maccm. Badala ya kung'ang,ana na mchanga tubadilishe sheria na mikataba, na namshukuru Mheshimiwa sana ametii na kutoa maagizo ya kurekebisha sheria.

Mmecheza mziki wa Lissu kwa kupenda kutokupenda.

Kwa kwlei ili ndilo tatizo la ccm kuua akili za watu. Huyu mtu si tu kwamba hana uwezo wa kuelewa lakini pia ninahisi hata kujielewa hawezi!. Ujinga ndio mtaji wa ccm. Uongo ndilo taji lao, ubabe ndiyo kinga yao na FEDHEHA YA MATOKEO YA UJINGA WAO NDIO UTUPU WAO!
 
Jamani tusipende kumislead/kupotosha..

Sijawahi kumsikia Lissu akisema ACACIA hatukwapulii Maliasili zetu..

Tena kuna clip anasema haya makampuni yanatupiga kweli kweli..

Yeye alichokuwa anapigia kelele na kuonekana anawatetea ACACIA ni pale anaposema hawa jamaa wapo right kisheria maana mikataba tuliyofunga nayo ni mibovu.

Ivyo kama tunataka kudeal nao lazima kuwa waangalifu maana mikataba yetu wenyewe ndio iliyowaruhusu kubeba hayo Makinikia na hii mikataba kwa ujumla wake inawa favour wao.

Lakini kuhusu kuibiwa Lissu alisema wanatuibia kweli kweli. Tena akasema acha hii michanga, kuna zile dhahabu zenyewe ambazo wanazipakilia kwenye airport zao kule kule migodini ambako huko ndio wanatupiga zaidi.
Nauhakika hakuna mwana ccm ataelewa hiki ulichoandika hapa.
 
Umemsikiliza mkuu alitoa hitimisho gani kuhusu mikataba? Na TL alikua anazungimzia nini na kushauri nini kifanyike? Acha kupotosha ninyi ndio mnaofanya watanzania tuitwe malofa kwa njaa njaa zenu hizo
Tafuteni clips zote za Lisu mziweke hapa kukata ubishi
 
Tundu lisu haamini duniani na ahera,mtu aliyesema Lowasa ni mwizi kwa miaka 8 ila akamsafisha kwa sekunde moja unamuamini?wanasiasa ni wasaka tonge tu broo
Mwenyekiti wa ccm ametuthibitishia kuwa ccm ni WEZI
 
Acha uongo wewe! Hebu uweke ushahidi wa kuonyesha kwamba Lissu alisema ACACIA wako sahihi.

Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
 
Wapi Lissu alisema hatuibiwi?
Ila leo hii mbele ya kamera mwenyekiti wa ccm ameitangazia dunia kuwa ccm ni wezi kwa kushirikiana na wawekezaji, akitolea mifano wachache, Chenge Mb. wa ccm, Daniel Yona Mb. wa ccm, William ngeleja Mb wa ccm!!!!

Na wabunge wa ccm waliopitisha sheria ya madini na gesi...
 
Ninatamani sana kuwe na kipimo kingine cha ufahamu zaidi ya kusoma na kuandika tu!. Ninadhani kuna haja ya kupima na kutoa alama kulingana na uwezo wa kuelewa.

Ni huzuni kubwa binadamu mwenyekichwa kushindwa kuelewa hoja za Lisu!. Lisu alitetea kwa bidii san akwamba msingi wa mambo haya ni ubovu wa mikataba. Anakwenda mbele zaidi na kuainisha kwamba wizi haukufanyika kwa michanga tu, bali hata makampuni ambayo yanakamlisha michakato yote hapa hapa bila kusafirisha michanga. Kumekuwa na wizi mkubwa kiasi kwamba taifa halipati manufaa sahihi ya madini yake.

Kwa wenye akili wattambua kabisa Lisu alichokuwa anakipigania ni kung'oa mizizi ya wizi badala ya kukata matawi ya juu yaani kulia na mchakato wakakti mikataba na kanuni zinatuhujumu.

Enyi binadamu mfanyweje ili vichwa vifunguke?

Wewe unaamua ku breach makubaliano bila ushauri makini wa kisheria unategemea kupata faida? unaweza kuwa dictator kwako lakini kamwe huna uabvu wa kuwa dictator dunia nzima.

Ubabe huo huo ulitumika kuzuia meli za wavuvi wa samaki, wakaitwa maharamia wa Magu, lakini kwa kuwa maamuzi hayakufuata sheria, tailfa lilinggia katika hasara ya kulipa mabilioni ya pesa.

Kukurupuka kunafuingiza katika hasarakubwa. Mweleweni Tundu Lisu hata kama ni kwa kujisomea makala zake usiku kucha hadi muloweke na miguu kwenye maji. Vingienvyo, mnayoyafanya ni aibu.

Kwa mtu mwenye akilitli timamu, anapashwa kuelewa kabila kwamba haya yote matumizi ya muda wa kazi, fedha za kuunda kamati, gharama za kamati ni matumjizi mabovu yafedha za umma kama si ujinga wa CCM kutumi aubabe kila sehemu bila kutumi akil.i.
Umeongea wee ulikoharibu ni kwenye samaki tu
 
Lisu kila siku anawapaka mafutaa ndo mana makalio hayatulii.Nachukia sana kuona mtu na akili zake timamu anajaribu kutaka kuaminisha watu ujinga. Leo mnapiga kelele kuhusu madini miaka yote mlikua wapii?
 
Mtaishia kupotosha wajinga na wapumbavu wenzenu tuu.

wenye akili tunaelewa lissu alimaanisha nini.

UFISADI NI CCM NA CCM NI UFISADI.ONDOA CCM NCHI IPONE.
 
Jamani tusipende kumislead/kupotosha..
Nakuunga mkono mkuu, ila maoni yangu;

Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya JPM kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3.Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.

Mkakati ya Team JPM
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya JPM sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila JPM kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.

Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.JPM atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. JPM atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.JPM atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.JPM atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.

Toafuti ya JPM na Lissu kimkakati

1.JPM aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya JPM-Weak Approach

Kwanini JPM yuko sahihi

Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.

Kwanini Lissu hayuko sahihi sana

Approach yake ingesababisha bunge kujadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto.

Dhamira
Lissu anadhamira nzuri kama JPM, ila kwenye hili wamenzidi ujanja kweye approach ataonekana kama msaliti wakati siyo msaliti, na wanamchafua kwa kunakili mistari michache na mifupi kwenye hoja zake ili waonyeshe ni msaliti.

Hitimisho
JPM amejipanga kwenye hili swala na ndiyo maana kwenye conclusion yake aliwaita ACACIA kwenye majadiliano, na kabla ya kuwaita aliwapiga mkwara kama wataenda kumshtaki hawatachimba madini Tanzania, na unajua madini yamebaki nchi chache duniani, huamuzi wa kuondoka jumla utakuwa ni mgumu.

Hayo ndiyo maoni yangu.

Lissu yuipi? Aliyekuwa anatafuta taarifa Kwa J MANYIKA? sujawahi kuona mtanzania wa hovyo kama LISSU
Kwa hiyo kutafuta data kwako ni kosa. Kwa hiyo wewe ndiyo unajiona mjanja bila taarifa> They always say if you have no data don't make any argument. No data keep quiet. Na hizi kamati kazi yake ilikuwa ni kutafuta data au information ili waweze kutoa taarifa. Kwa hiyo wamewakilisha ujinga kwa sababu wametumia data?
 
Lissu hata aongee ukweli upi kwangu simkubali. Alie tembea nchi nzima akisema Lowassa no mwizi then leo anafaa urais? Nugatory Lissu.
 
Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya JPM kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3.Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.

Mkakati ya Team JPM
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya JPM sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila JPM kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.

Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.JPM atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. JPM atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.JPM atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.JPM atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.

Toafuti ya JPM na Lissu kimkakati

1.JPM aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya JPM-Weak Approach

Kwanini JPM yuko sahihi

Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.

Kwanini Lissu hayuko sahihi sana

Approach yake ingesababisha bunge kujadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto.

Dhamira
Lissu anadhamira nzuri kama JPM, ila kwenye hili wamenzidi ujanja kweye approach ataonekana kama msaliti wakati siyo msaliti, na wanamchafua kwa kunakili mistari michache na mifupi kwenye hoja zake ili waonyeshe ni msaliti.

Hitimisho
JPM amejipanga kwenye hili swala na ndiyo maana kwenye conclusion yake aliwaita ACACIA kwenye majadiliano, na kabla ya kuwaita aliwapiga mkwara kama wataenda kumshtaki hawatachimba madini Tanzania, na unajua madini yamebaki nchi chache duniani, huamuzi wa kuondoka jumla utakuwa ni mgumu.

Hayo ndiyo maoni yangu.

Jamani tusipende kumislead/kupotosha..

Sijawahi kumsikia Lissu akisema ACACIA hatukwapulii Maliasili zetu..

Tena kuna clip anasema haya makampuni yanatupiga kweli kweli..

Yeye alichokuwa anapigia kelele na kuonekana anawatetea ACACIA ni pale anaposema hawa jamaa wapo right kisheria maana mikataba tuliyofunga nayo ni mibovu.

Ivyo kama tunataka kudeal nao lazima kuwa waangalifu maana mikataba yetu wenyewe ndio iliyowaruhusu kubeba hayo Makinikia na hii mikataba kwa ujumla wake inawa favour wao.

Lakini kuhusu kuibiwa Lissu alisema wanatuibia kweli kweli. Tena akasema acha hii michanga, kuna zile dhahabu zenyewe ambazo wanazipakilia kwenye airport zao kule kule migodini ambako huko ndio wanatupiga zaidi.
Watu kama Nyie Chini ya Uso wa Dunia mnahesabika...kaka Baraka Ziwe juu yako Ndugu yangu...
 
Back
Top Bottom