Recent content by Morgantps

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Uchawa unakutia upofu na kukufanya zuzu, huelewi hata uzito wa hoja iliyowasilishwa!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Hongera Sanaa kwa andiko zuri.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

    Sio kweli, zipo jamii za kiafrika ambazo, Mwanaume hawezi kupiga goti kwa Mwanamke,tusiishi kwa kukariri tamaduni za kizungu ambao hata wao,sio wote wqnaopiga goti, kuna jamii ya waturuki hawafanyi Hayo mambo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    Ndugu yangu! Usilo lijua ni Sawa na usiku kiza! TPDF si dhaifa kama unavyodhani, lipo more advance,kuna mengi yamefanyika na yanaendelea kufanyika kimyakimya, kama bado unamtazamo wa jeshi lileee lililopigana vita ya Kagera! Basi unakosea Sanaa,kuna Idadi kubwa ya vijana wenye uwezo wamekuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna maafa makubwa huko Israel!

    Kweli kabisa, inapaswa iangaliwe ktk uhalisia wake na si mtazamo wa kidini 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Shamba Ekari 9.7 lipo kiegea "B' kata ya Mkundi,Manispaa ya Morogoro,kwa mawasiliano zaidi nicheki 0754315738.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito na wa kina kwa hotuba ya Askofu Dkt. Gwajima

    Huu sio Huu sio uchambuzi,ni malalamiko!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Mjibu kwa hoja! Kama huna nyamaza kimya!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania North Korea yarusha tena kombora kupitia anga ya Japan

    Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    You're very right brother, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umetufikisha hapa...

    Hahaha, Duuu ataenda shule na mawazo lukuki!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Abiria m-baguzi

    Safi sanaa,huyo mbaguzi hata sahau aibu hiyo aliyoipata maishani mwake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM kufukuzwa: Chanzo cha mgogoro na Serikali inavyohusika

    Kama huo ndio uhalisia wa jambo hilo! Serikali hii itakuwa imefanya jambo la ajabu sanaa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyie wadada hivi mtajitambua lini? Na mpigwe tu

    Haswaa,hilo nalo neno.
Back
Top Bottom