Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

Afande Sele amvisha pete ya uchumba Imani

the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool …
Dalili za kichoko izi
20250722_114333.jpg
 
he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
Mwanaume kumpigia magoti mwanamke ni ishara ya kukubali kutawaliwa.

Udhaifu mkubwa.
 
katika utamaduni na mila za kiafrika hakuna mambo ya kuvalishana pete huo ni utamaduni wa Wazungu, na kuna sababu kwa nini Mwanaume wa kizungu hujishusha na kumpigia goti mchumba wake anayempenda na kumuomba akubali kuwa mume wake, sasa wewe mwanamke anakupigia goti halafu anakwambiaje kwamba anakuomba umuoe, au ? haya mambo kama hamuyaelewi siyo lazima muige mnadandia treni kwa mbele bila ya kuelewa ilikotokea na hata inakoelekea, matokeo yake mnaonekana vituko mbele ya dunia …
Sio kweli, zipo jamii za kiafrika ambazo, Mwanaume hawezi kupiga goti kwa Mwanamke,tusiishi kwa kukariri tamaduni za kizungu ambao hata wao,sio wote wqnaopiga goti, kuna jamii ya waturuki hawafanyi Hayo mambo!
 
Afande anasema wote wote kimya/nitanena hapa yatamgusa mwenye hekima.........HONGERA SANA MKALI WA RYHMES
 
he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
Hayo mambo yakupigiana magoti ni mambo ya kizungu.Na mwanaume kumpigia mwanamke goti ni utumwa.Usituletee uzungu wakijinga.
 
kwa nini iwe kinyume chake? na kwa nini muige jambo ambalo hata hamulielewi maana yake? kama unaiga aidha unafanya ipasavyo au uache na ufwate mila na tamaduni zenu, vinginevyo mnaonekana vituko na kuzidi kudharauliwa duniani kote kwa maana hamuelewi kwa nini kwenye culture za Wazungu Mwanaume hujishusha kwa kupiga goti kumuomba mchumba wake ampendaye akubali kuolewa naye, hivyo bakieni tu kiafrika kupigana mtama kubakana, au ndoa za mkeka kwisha siyo lazima muige mambo ambayo hamuyaelewi, mnaonekana kituko mbele ya dunia.

kumbuka kujishusha kwa umpendaye na anayestahili siyo udhaifu bali ni Uanaume uliokomaa ...
Wewe kama ni mwanaume jitafakarii.Hao wazungu wanaojinyenyekeza ndio hao wanaoteswa na wanawake zao kila siku.Mwafrika ampigii mwanamke goti na inatakiwa uwe na wake wengi.Full stop.
 
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.

View attachment 3433400
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani ameshea post hii ya Afande Sele kuchumbiana na Imani Makongoro na kuandika

"Hongera sana mwanangu Afande Sele pamoja na mwenzio Imani Makongoro kwa kuchumbiana (Engagement) Mungu awasimamie Jambo hili liwe na baraka tele".

"NB:Baada ya kukaa Mgane miaka mingi toka Mama Tunda ATUTOKE (RIP) hatimaye Mfalme kapata Malkia wa maisha yake".

Chanzo: EastAfrica TV
Amefanya vyema kukaa muda mrefu ndiyo kutafuta mwenza ,siyo mke anakufa leo baada ya wiki mbili ushaoa tena.
 
the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool …
Wewe ndio mjinga. Kupiga magoti ni ishara ya kushukuru kufanyiwa favor. Mwanamke anakuja kwako unamhudumia kwa kila kitu sasa umepigie magoti kwa lipi, mwanamke ndie anatakiwa kupiga goti
 
Huyo mwanamke kazi anayo kudeal na huyo mvuta bangi.
 
he is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika …
Kwani mwanamke hawezi kumuuliza mwanaume kuwa"utakubali kunioa?
 
Demu ana macho makali sijui kashapiga msuba. Kila la heri Simba endelea kuzimwaga na akili ufe tukuzike
 
hata wewe hauelewi kama huyo idiot mwenzako kwa nini Christians hupiga goti wanapomuomba binti akubali kuolewa naye, kama hamuelewi maana yake si muonane tu kimila kama mababu walivyofanya enzi na enzi kwa kuviziana vichochoroni kupigana mitama, ila mila za watu kama hamzielewi ziacheni …
Umepuyanga sana POLE!! mila nyingi za Makabila ya Kitanzania, huwa Mwanaume anaomba Kuoa mwanamke kwa kumtolea POSA, Pete ni kwa Matumizi ya Social Network tuu. Unataka Kutuaminisha Wanawake wa Kibongo hawajuagi kama wanataka kuolewa hadi siku ya kuvishwa pete?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom