Recent content by More ideas

  1. More ideas

    JamiiForums Tanzania Usaili wa mashirika yanayo shughulika na wakimbizi

    Nilitumia goole map sikufanikiwa kufika, ndo maana nimeuliza. Sometime map is not real nikifahamu kituo itakuwa rahisi.
  2. More ideas

    JamiiForums Tanzania Usaili wa mashirika yanayo shughulika na wakimbizi

    Mkuu nisaidie nawezaje kufika IOM ofisi zao hapa Dar es salaam na kituo gani unashuka ukiwa unatokea Magomeni
  3. More ideas

    JamiiForums Tanzania Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

    Acha dharau kama umepata usione wengine wazembe.
  4. More ideas

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Chatu alivyomuuliza mkenya unanikumbuka ulinigonga chole(mimi ndo lile prado) akamalizia kwa kusema mbwa wewe
  5. More ideas

    JamiiForums Tanzania Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

    Kipa katoka
  6. More ideas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kunikula kanichunia

    Kama kweli amekutoa bikra na amekupotezea, inaonekana ulimsumbua sana kukukula wanaume huwa hatupendi usumbufu.
  7. More ideas

    JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Wanaume wana low life span na wanafanya risk job (boxing, soldier etc) na kuna other factors.
  8. More ideas

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara na wajasiriamali mliopo chuoni tukutane hapa

    Achana na biashara ya simu za mkononi
  9. More ideas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mpenzi wako kukutambulisha kwa 'x' wake?

    Usiruhusu mtu wako awe na mawasiliano na ex wake, anyway tumia akili kufikiria kuliko hisia
  10. More ideas

    JamiiForums Tanzania Ati Nabi aondoke na Mwambusi je?

    Pressure and goals setting za ihefu na hizi yanga na simba ni tofauti usicompare kwa angle hiyo.
  11. More ideas

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Production and operations management kutoka Mzumbe university

    Mzumbe kuna both programme, production and operation management na industrial engineering management sizani kama the same.
  12. More ideas

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nani kasema kazi hakuna?

    Tengeneza connection na siyo marafiki, marafiki tunachukuliana poa sana.
  13. More ideas

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

    Hakuna haja basi ya kusoma kada zingine sindo hivyo? Kila mtu akalime this is too much
Back
Top Bottom