Achna na hayo makitu tatizo vyio vinaibuka na program ambazao hazijafanyia tafiti kisawasawaMwenye anaejua nafasi za kazi kwa kozi ya production and operations management na ina husika na nini zaidi, lakini pia mhitimu atafanya kazi wapi endapo akimaliza.
Hii kazi zake ni viwandani utafanya kazi kama Production officer/Supervisor,Quality control Supervisor/Officer.Mwenye anaejua nafasi za kazi kwa kozi ya production and operations management na ina husika na nini zaidi, lakini pia mhitimu atafanya kazi wapi endapo akimaliza.
ShukraniiHii kazi zake ni viwandani utafanya kazi kama Production officer/Supervisor,Quality control Supervisor/Officer.
Hii kozi inafanana kidogo na ile ya Industrial Management(UDSM)