More ideas
Senior Member
- Jun 2, 2019
- 115
- 89
Chatu alivyomuuliza mkenya unanikumbuka ulinigonga chole(mimi ndo lile prado) akamalizia kwa kusema mbwa wewe
inawezekana walitumia silencerKuwa serious basi, risasi zipigwe ushuani polisi wasifike?
Oyaaa Gily kwavile Mimi sio Mchaga wa Rombo ndio maana hunitag? 😅😅😅😅Amehlo Numbisa Dejane Half american Dr Restart Depal Demi KatKit Johnnie Walker Chizi Maarifa Antonnia
Arosto zinachosha. .
Wakati tunatoa Arosto kwenye nyuzi za wengine njooni huku kuna mtu kashusha kitu. .
Jana nilikutag leo nimejisahau tu 😄
Sio kweli mkuu. Hata Jana sijaona. Dawa yako ni kwenda kufukua ule Uzi wa wachaga 😅😅😅Jana nilikutag leo nimejisahau tu 😄
HorrorHii movie gani?
Jana nilimzingua chizi maarifa kanishutum kwa mods 🤣 naweza fungiwa analalakika kama demuSio kweli mkuu. Hata Jana sijaona. Dawa yako ni kwenda kufukua ule Uzi wa wachaga 😅😅😅
Hamna kitu hapaKuwa serious basi, risasi zipigwe ushuani polisi wasifike?