Usaili wa mashirika yanayo shughulika na wakimbizi

Usaili wa mashirika yanayo shughulika na wakimbizi

April26

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
1,405
Reaction score
2,163
Wakuu habari.

Nauliza kupata uzoefu kuhusu usaili wa maandishi/ kuandika/ written test wa mashirika yanayo hudumia wakimbizi. Kuna dogo kaitwa akafanye interview shirika moja hivi.

Tumsaidie kujuwa zinakuja kwa mtindo gani?

Mimi nachojuwa ni yanahusiana na issue za kijamii zaidi.

Nawasilisha[emoji120]
 
Hongera sana kwake kwa hatua ya awali.
Inategemea na position aliyoitiwa. Ingawa mashirika yanayotoa huduma kwa wakimbizi yanasimamia “Humanity“.. UTU… Kama mwongozo wa UNHCR.

Hivyo pia mbali ya taaluma ya position aliyoitiwa anaweza gusiwa kidogo kuhusu UTU.
 
Ooh sawa sawa.
 
Hongera sana kwake kwa hatua ya awali...
Huwa nasikia wako fair sana baadhi ya hayo mashirika hawaangalii sana kujuana.

Na alisema hiyo nafasi imetumwa kwa mara ya pili mwanzo ilikosa mtu wakarudia.

So kwenye ajikite kusoma/kudeseka na notes za aina gani chief.
 
Child protection.
Child safeguarding.
Emergency/crisis response/support.
Na Ishu zingine kuhusiana na nafasi aliyoomba

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie aje inbox nimpe data na mwambie namkaribisha sana MAKERE, hapa ndipo wapambanaji Wafanyakazi wa Mashirika hayo tupo,hata leo nilikuwa Nyarugusu Refugees Camp kikazi.

Mashirika ni mengi, kuna UNHCR,Good Neighbors, Danish Refugees Camp, World Vision, IOM, CWS, IRC nk.

Interview Mashirika mengi huwa wanafanya Written(Online)na hata Oral pia hufanyika online(Zoom)
 
Huwa nasikia wako fair sana baadhi ya hayo mashirika hawaangalii sana kujuana.

Na alisema hiyo nafasi imetumwa kwa mara ya pili mwanzo ilikosa mtu wakarudia.

So kwenye ajikite kusoma/kudeseka na notes za aina gani chief.

Yeye ajikite kwenye job description ya position aliyoomba. Ameomba shirika gani na position ipi?
 
Mwambie aje inbox nimpe data,na mwambie namkaribisha sana MAKERE,hapa ndipo wapambanaji Wafanyakazi wa Mashirika hayo tupo...
Mkuu nisaidie nawezaje kufika IOM ofisi zao hapa Dar es salaam na kituo gani unashuka ukiwa unatokea Magomeni
 
Nilitumia goole map sikufanikiwa kufika, ndo maana nimeuliza. Sometime map is not real nikifahamu kituo itakuwa rahisi.
Nenda masaki sehemu moja inaitwa levante.

Halafu tafuta boda au bajaj wakupeleke.

Ofisi unayoitafuta hapo
 
Mwambie aje inbox nimpe data,na mwambie namkaribisha sana MAKERE,hapa ndipo wapambanaji...
Baada ya ujumbe huu nahisi utanikacha kabsa.

Nipo kigoma nipe handle kaka nishatuma sana maombo kwa mashirika hayo ila wapi sina cha kuambulia zaidi ya "we regret your position taken by another candidate "

Mkuu naomba niweze kuongea na wewe vizuri tu uweze kunisaidia.
 
Back
Top Bottom