Recent content by Mopalmo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili uweze kupata au kushinda Tender mbalimbali

    Kuwa mkweli,nest hutoa taarifa ta award,na kiasi pamoja na sababu ya wewe kukosa
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    kipigo walichopigwa saudia kwenye mitambo yao ya mafuta inadhihirisha kabisa kuwa mitambo ya US ni hovyo mno, maana asilimia mia moja ya mashambulizi yalifika na kufanya uharibifu. vidrone vidogo tu pia viliweza kupenya na kufanya yake bila usumbufu wowote, ni ajabu sana hakuna mfumo wowote...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    kiukweli mashambulizi ya irani yalikuwa makubwa hapakuwa na madhara ya kifo ila uharibifu ni mkubwa. iran waliwajulisha Iraq makusudi kwa sababu lengo lao halikuwa kuwaua wanajeshi wa marekani na Iraq kwa sababu hali ya kimahusiano ingeharibika,kwa hiyo wanajeshi wa marekani either walihama kwa...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    kwa kweli hizi S series za Russia ni level nyingine kabisa, fikiria kama s 125 na vi antimissile vya zamani vya kisovieti wanajeshi wa Syria waliweza kutungua missile za kutosha zilizorushwa na us na washirika wake vipi kama Syria wangekuwa na s300 na 400 wakati ule? S400 na s300 zinaoperate...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    inasemekana hizi bases hazikuwa na ant missile system,wanasema hizi system wameweka sehemu nyeti zaidi kama power stations na base nyingine za kimkakati, ilikuwa hivi kwa sababu hadi hivi karibuni risk Iraq ilikuwa ndogo mpaka hapa karibuni hali ilivyoharibika, hii inawezekana kweli mimi binafsi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tamu na chungu ulizopitia wakati unaanza biashara yako

    Alikuwa anakopesha sana au kutoa bidhaa bure
  7. M

    JamiiForums Tanzania CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

    Unahitaji kujua kiundani, CPA Ina stages Kama ilivyo ACCA, ili uanzie intermidiate lazima uwe Ina degree ya uhasibu au sifa linganifu, pitia website ya NBAA utaona, vinginevyo utageuka kituko hapa kwa kutoa hitimisho kwa kitu usichokijua
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA ACCOUNTANCY

    nenda tia au ingia www.tia.ac.tz
  9. M

    JamiiForums Tanzania CPA(T) 800 kuhitimu kila mwaka, ajira chache, kuhitimu CPA sio ishu tena

    nadhani ni maendeleo na wala sio kushuka kwa fani husika,hivyo ni jambo jema
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wanaojua SHERIA ZA BANK (nimeonewa)

    nenda makao makuu strait kwa chief operating oficer peleka madai yako moja kwa moja branch manager hawez saidia maana anajilinda yeye na mtu wake,hili si kosa la mteja hata kidogo wala hatakiwi kuwa sehemu ya kusubiria hiyo kampuni ya simu irudishe bali alipaswa awekewe float upla hiyo hasara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada utaratibu wa kurudia kusahihishiwa upya mtihani kidato cha sita

    kesi ya nyani umpelekee ngedere? huwezi fanikiwa kwenye appeal kama huamini jaribu kuangalia appeal zilizotangulia,baraza ndio waliosahihisha halafu uwakosoe?usipoteze muda
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu NBAA (Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania)...

    kwanza uwe na hiyo CPA kwanza ndio uikosoe,vinginevyo ni wivu,pia sheria kuwa na origin moja haimaanishi zinafanana, kama ungekuwa una CPA usingekuwa na maswali ya namna hii,CPA ya Tanzania ina mapungufu kama elimu yetu ilivyo na mapungufu katika fani nyingine lakini inazidi kubadadilika kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu vya CPA na paper kwajili ya sitting ya NOVEMBA 2019

    COVENANT WAKO POA KWA MASOMO MENGI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Afanye ACCA/CPA badala ya F6~> College

    kwani academic ina umuhimu gani? mi naona ni wasiwasi tu au labda kama unataka kuwa mwalimu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Mabanker na wakereketwa, tukutane hapa tuambiambiane ya kwetu...

    hatari sana hali ni mbaya
Back
Top Bottom