dranx
Senior Member
- Dec 31, 2018
- 190
- 84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Naomba mnifahamishe vitu nnavyotakiwa kuvijua Kwa technician certificate in accountancy.
Kuanzia muda wa course,vyuo Bora Kwa hii course,masomo yanayofundishwa kwenye hii course.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu.