1.Akisoma cpa akimaliza degree atafanya masomo 10 alafu acca ataenda kuongezea kama masomo sita au zaidi kulingana na exemptions atazopewa (jumla masomo 16 au zaidi kupata cpa na acca).
2.akisoma acca akimaliza degree atafanya masomo sita au zaidi kulingana na exemptions atazopewa, akipata acca akienda cpa atafanya masomo matatu tu kupata cpa (jumla masomo sita au zaidi kupata acca na cpa)
kwa haraka haraka option namba mbili iko poa, ila tu akimaliza degree ahakikishe ameomba exemptions huko acca kwa kutumia transcript yake lasivyo ataambiwa afanye masomo kumi.
Asome kwa mfumo huu
Certificate - Cbe (Tawi la Mbeya) - Kijana inabidi ajifunze kujua kuandika assignment, kuondoa ushamba wa uhuru chuoni, n.k kwa hiki kipindi nashauri aome hapa kwasababu elimu ya hapa ni nyepesi sana hivyo ni nzuri kwa mgeni wa mazingira ya chuoni na kumfanya mwanafunzi afaulu kwasababu ya elimu nyepesi, lengo ni kumu introduce maisha ya chuoni na changamoto zake na kupata cheti kizuri.
Diploma - Mzumbe (Tawi la Mbeya)au T.IA tawi la mikoani - hapa ataanza shule yenyewe sasa aachane na vyuo vyepesi, ni chuo kizuri na nimeshauri asome tawi la mkoani kwa sababu main campus watu wanajaaga sana na wanabana sana
Degree - UDSM, I.A.A - Kwenye degree hapa aende udsm akikosa aende Arusha I.A.A, Ifm usimpelek pale kusema kweli walimu wanafanya elimu iwe ngumu sana na ku disco ni kitu cha kawaida sana