Na wewe unaongea usichokijua Open university imetoa elimu kwa credible individual na wamefanya mambo yanyoeleweka kuibeza taasisi hii ni kwa kuwa huijui.
Wewe umeamua kuwachafua
wakufunzi wetu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya BSc ICT ninapata ushirikiano mkubwa mno kwa Coordinator wa ICT program Dr Kamaghe na Mwlm Ombeni pia hata Sasa anatoa ushirikiano mkubwa wewe kama una shida zako usichafue taasisi yetu
Hivi hao wanawake sio binadamu kwamba hawajui kwamba wao ni wake za watu mpaka wanaenda kugegedwa na wanaume wengine mbona mimi sielewi jamani inakuwaje ? Afu ukisha jua demu wako anagegedwa nje ya nini kumfumania ili iweje si unamuacha yanaisha jamani kwa nini tunaharibiana sifa mtaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.