Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

cc Mkirindi

Nilikuwa sijawahi kukutana na mtu mwenye gundu. Yani yule mtu kila kitu akigusa hola.
Tatizo huyu jamaa kaamua kuwatenga wapiga dili nguli na wazoefu wa hizo kazi akaona kuwa yeye na genge lake la wapiga dili washambawashamba wataiweza kazi.Matokea yake sasa wanaishia kupiga dili za kishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee,

Naona hauko informed. Siwezi kukulaumu.

Mpaka unaona tunapiga kelele juu ya hili ujue kuna tatizo kubwa sehemu.

Watu wameamua kujitoa akili kutetea uharibifu mkubwa wa uchumi.

Rais alisema atanunua korosho zote kwa bei ya Shilingi 3,300 kwa kilo kupitia benki ya wakulima. Hili hapa lilikuwa ni kosa kubwa la kwanza na kama usalama wa taifa ungefanya kazi yake hili kosa lisingefanywa.

Pili, Rais alitaifisha kiwanda cha kubangua korosho na kuipa Jeshi JWTZ ili wabangue hizo korosho na kwa hesabu za Rais hizi korosho zingelika Tanzania. Hesabu za kilo mbili mbili kwa watanzania. Hili pia ni kosa lingine kubwa.

Baada ya kuona makosa, sasa inabidi kwanza kulipa wakulima, si siri benki ya wakulima haina huo uwezo hivyo pesa lazima zitoke BOT. Ukihoji fedha zinatoka BOT kwenye akaunti gani utaitwa msaliti. Ukihoji ni jinsi gani hii inaathiri uzalishaji kwa misimu ijayo utaitwa msaliti.

Sasa Jeshi limeshindwa kubangua korosho, kwa sababu si kazi yao na hawana utaalam, na gharama kubwa zishatumika na Jeshi, hivyo inabidi ziuzwe kule kule tulipowafukuza na kuwaita majina yote, hata kwa hasara kuficha makosa makubwa yaliyofanywa. Hapa ndiyo anaingia dalali Indo Power, anapewa fedha anunue hizi korosho na kisha kuuza nje. Ukiuliza ni wapi hii kampuni imetoa $178m utaitwa msaliti. Ukihoji inakuaje inanunua kwa bei zaidi ya bei ya soko utaitwa msaliti.

Tulishauri hapa na kuonekana sisi ni madalali. Leo tumekosa fedha za kigeni na kuharibu mnyororo mzima wa biashara ya korosho. Lakini wale wazalendo wapiga vigelegele bado wanashangilia.
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..
Ingerikuwa heri kama ameripa. kwa bahati mbaya wala hajakopa Bali kapewa akauze na akifauru kuziuza arejeshe mauzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiongeze,
Utanunuaje mzigo wa Dola milion 180 kisha ndo uhangaike kutafuta mteja?

Biashara kama hiyo mtu huwa anakuwa na mteja tayari

Tuambizane ukweli tu hiyo ni kampuni ya udalali tu iliyopewa dili la kutafuta mteja huku tukizugwa kuwa imenunua mzigo!

Pesa tunazoaminishwa kwamba hiyo kampuni italipa kununua mzigo most likely itakuwa ni pesa zetu wenyewe ( VOTE-20?)

Tumenunua Koroshow zetu wenyewe kwa pesa zetu wenyewe kupitia kampuni ya kimagumashi iliyopewa udalali wa kudanga duniani kumtafuta mteja halisi atakayezinunua hizo koroshow, then baadae tuje tufidie hela yetu wenyewe tuliyonunulia hizo koroshow.

Huhitaji kuwa genius kuliona hilo!
Rosti tamu hana adabu kabisa, kwenda kote mjengoni kunywa chai na kupiga mapicha na mkulu kaamua kumchezesha cheusi chekundu... Pwahaaaaaaaaa
 
Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.

Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions

Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:

View attachment 1019349

Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:

View attachment 1019353

Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:

View attachment 1019356

Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/

Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337

Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto

View attachment 1019369
Maxence Melo likes this
 
Hii ndio great thinking. Umenena vyema ndugu.

Tatizo watu wanadandia majani ya mti kijaribu kufika kileleni. Nilitegemea wangekuja na hizo details kama,
1. Madalali, je tunawapa mzigo wakauze kisha watuletee pesa?
2. Madalali, je wanatutafutia tu wateja kisha tunawalipa kamisheni.
3. Je wananunua mzigo kisha wao wakafe nao mbele kwa mbele

Tatizo la hii nchi kila mtu ni rais, polisi, hakimu, mbunge na mwandishi wa habari.
Namba 1 ni sahihi Kiasi... Kwa taarifa tu Serikali yetu ndio inayonunua... Haina tofauti na KANGOMBAZZ
 
Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.

Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions

Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:

View attachment 1019349

Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:

View attachment 1019353

Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:

View attachment 1019356

Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/

Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337

Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto

View attachment 1019369
Sasa kama wamenunua kwetu ni jukumu letu kujua wanauza wapi au vipi? nafikiri sisi tushamaliza biashara nao wao waendelee na zao.
 
Sioni Logic ya huu uzi, kama mnunuzi ametoa fedha yake tayari bila kukopa , atachofanya baada ya hapo hakituhusu.

Hata akiamua kuzila zote mwenyewe au akazigawa kama msaada ni maamuzi yake mwenyewe.
Kwahiyo mkuu wewe unaweza kununua mahindi let say ya million 100 na usijue wapi unapeleka mpaka uanze kuranda randa kutafuta masoko kweli?!
 
Akihutubia kwao wakati huo akiwa waziri wa njia aliwaambia hivi wakati akijibu malalamiko ya njia kukosa lami , " Wakusanye kinyesi chao chote wasilibie bara bara ili iwe mbadala wa lami " Mtu kama huyu atatoa wapi baraka ?
Wenye baraka ni wale ambao walimtukana Lowassa kwa miaka nane halafu wakataka wamsafishe kwa miezi mitatu kuelekea uchaguzi wa 2015. Kina Kubenea ndio wenye baraka, walitumia magazeti kumchafua mamvi halafu baada ya kupewa pesa wakayatumia magazeti hayo hayo kumsafisha!.
 
Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.

Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions

Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:

View attachment 1019349

Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:

View attachment 1019353

Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:

View attachment 1019356

Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/

Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337

Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto

View attachment 1019369
Kwa watu kama wewe hakuna jema hata moja ambalo serikali hii inaweza kufanya.
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..

Ndivyo serikali inavyofanya kazi?
 
Mkuu,

Hukuwa hivi hapo awali. Umebadilika. Unadhani tunaotahadharisha hatuko positive?

Ilitakiwa sote tuandike “Naunga mkono juhudi” ndio ieleweke kuwa tuko positive?

Mkuu, rekodi yako hapa JF haionyeshi wewe ni wa kupindisha maneno. Hebu iite nyeusi kuwa nyeusi
Actually sijabadilika isipokuwa mara zote niko rational and positive. Sasa kama huko nyuma korosho yetu haikuwahi kuuzwa kupitia Alibaba, sasa harakati za JPM zimesababisha ipande hadi kufikia kuuzwa kupitia huko, ukiwa positive si utaona kuwa hiki ni kitendo cha maendeleo kwenye soko la mazao yetu [kupanuka kwa soko la mazao yetu]? Who knows pengine na mazao mengine yatafuata kuwekwa na kuuzwa kwenye soko kubwa kuliko yote duniani! Let's be positive please.
 
Back
Top Bottom