Hamwezijua jaman huwenda kyupi chote kilikuwa kinaonekana ndani ya pazia.unaposema mtalaka nakua sikuelewi
pili: hiyo nguo sijaona tatizo lake
RudiHa ha ha! Umenifanya nirudi kucheki skirt ya huyo polisi, hilo pozi lake sasa! mie hoooi!
Hawajui wanapiga tu kelele humu ndaniMaadili ofisi za umma sketi ivuke goti
hahahaha hili nalo nenoHamwezijua jaman huwenda kyupi chote kilikuwa kinaonekana ndani ya pazia.
Maana faiza akili zake anazujua mwenyewe.
Sasa wewe hujui kwamba birth certificate zinatolewa Rita?Faiza katoka kuzaa juzujuzi mara hii rita kutafuta nn
Safi sana.....kweli umefikiri....nafikir ndo ujue kwamba tafsiro ya mambo inaanzia kwenye ubongo...mentality tu....zamani wanawake wa kiafrika walikua wanatembea sehemu nyingi wazi...wanaume walikua wanaziba mbele...nyuma kote nje.....Hakuna shida hapo. Hivi mavaz yetu kabla ya wakoloni na waarabu yalikuwaje???
Huyo askari yuko vzr sana ipo sehemu faiza alikosea sio nguo tu,hasingeweza kumzuia maana hata utawara waliwakataza kuwapangia wateja nguo za kuvaa labda uwe mtumishi mle ndani ndio utarudishwa ukabadili.wateja wengi wanaingia na nguo za ajabu ajabu na hawajawai kuzuiliwa hata siku moja IPO tu walipokwazana akaona amkomalie kwenye nguo.
Ilikuwa transparent na alikuwa kavaa bikini
Kwenye ofisi ya Umma kwa mwanamke nguo inatakiwa kuvuka magoti hasa skirt au gauni hivyo walikuwa na haki ya kumtimuaKhaaah!! Hao nao wehu, hiyo nguo ina shida gani!!!
Acha tu mkuu yaan wamemuonea sanaYaani wamemuonea sio Siri.