Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,815
- 33,486
Hivi mwanamke akiwa anaanza kuchepuka huwa anajua akikamatwa ndio safari
maishan hakuna kitu nilchokuwa naktafuta kama hkHana bastola?Tandika wote za visogoni.Potelea mbali.Hiyo dharau sasa.
Huu ndo uanaumeHahaha ukisikia kujifungia chumba kimoja na paka mwizi ndio huku...yaani wewe umegundua mkeo analiwa alafu unamtokea yy na mlaji chumbani huku upo peke yako?
Kipigo alichopata kilimstahili maana sidhani kama mtu mwenye akili anaweza Fanya jambo gumu kiasi hicho bila mipango..
Kiukweli mm siku nikigundua mke wangu anatembezewa mkuyenge kwingine na nikawa na ushahidi Wa kutosha wala sintaangaika na anaemla maana siwezi jua nani aliemshawishi mwenzake..
Mm nitakchofanya nitamsubira nyumbani akirudi tu anakutana na kila kitu chake mlangoni abebe wakagegedane kwa Uhuru nguvu ambazo ningetumia kupigana na mgoni wangu ntazitumia kutafuta kifaa kipyaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Y've to kill dem all "baskets"!
wewe Na jamaa yako mazuzuJamaa yetu kitaa amevimba uso, hana hamu tena na mke kachapiwa. Ilikuwaje! ungana nami.
Kwa muda jamaa aliskia kiwa kuna afande mmoja anamla mkewe. Jamaa kwa mwendo wa kobe akaanza kufuatilia. Sasa bwana juzi kati kabonyezwa mkeo yuko room namba x afande anatandika mitindo huru.
Jamaa kakurupuka hadi maeneo kumbe Afande akienda kula mzigo anahakikisha kawapiga bia jamaa zake kama 4 hivi counter wanamsubili. Jamaa yetu pasipo kujua kaingia na mlango kunako mgegedo room. Bwana bwana valangati lake sasa, though jamaa alifanikiwa kumtia ngumi mbili tatu mgoni wake ila company ya jamaa aliyoiacha counter ilimtaiti jamaa na kumdondoshea kichapo heavy sana.
Hadi tunakwenda mitamboni jamaa kat**bewa na amekula ngumi za kutosha na sura imevimba. Mke hajarudi toka siku ya kisanga. Dunia sio mbaya wajawake ndio balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bastola
Dawa ya mtu anayemgegeda mkeo ni kumuacha tu japo najua hamuwezi kuachana kistaarabu, lazima ngumi na kujeruhiana kuhusike.
kama mgoni wako anakuzidi nguvu nenda kwa Mshana Jr. Akusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuacha kwani ameondoka nacho? Si anapata raha zake tu then anarudi nyumbani kiroho saaafi kabisa[emoji85]Mwanamke akishaanza kuchepuka bora kuachana naye tu,unaenda kumfumania ili iweje?baada ya hapo nini kinafuata?
HahahaUnamuacha kwani ameondoka nacho? Si anapata raha zake tu then anarudi nyumbani kiroho saaafi kabisa[emoji85]