Recent content by monditesha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    It is true, kabla ya akina Columbus na wengine, watu walikuwa wanaabudu kwa mitindo yao. Iweje mtu anasema lazima ufukize ubani kama waroma au waislamu ndiyo wako sahihi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Mali ya baba haina uhusiano na mtoto. Ndivyo sheria ilivyo, labda kama kakukabidhi kama mirathi kama akipenda, tena kwa maandishi. Wewe tafuta ya kwako hata kama hautampa baba yako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

    Watu wapo, tusubiri.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

    Anaehamasisha maandamano familia yake itangulie, sio anakunywa bia tamu huko watoto wa maskini wanatenguliwa migongo kwenye maandamano.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Kukopa ndiyo mojawapo ya nguzo za uchumi, hata uwe tajiri kivipi lazima ukope na kukopesha ili mzunguko wa fedha uwe imara. Kuna mataifa tajiri lakini yana madeni makubwa mno, kwa hiyo tunatakiwa kukopa hata mara 10 ya deni la sasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

    Mh hapo kama hakuna kamchezo,kama kila kitu ni true ampeleke kwao tu akaolewe vizuri na huyo ampendae
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kununua kama hekari 20 maeneo ya Moshi Kilimanjaro

    Huko Ms eka 20 utauziwa m 200,au unafurahisha wana jamvi? Nenda Kwediboma.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba niseme na baadhi ya wanamume

    Haya sasa ni matusi, mchafu ni huyo huyo wa kwako. Mbona husemi pesa ina tuharufu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Dna haina mapungufu? Je inafanya sawa asilimia 100? Take care utakuja pewa mtt kisa tu DNA.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    Smartphone zote ni majanga endapo utajaribu kudownload app, video, music na haohao wamejaza mavirusi ili ununue tena nyingine. Unachezea mzungu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwinjilisti: Barua kwa Rais Magufuli, kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia?

    Haya yangu masikio na macho, hata ww ungekuwa mkuu wa kambi usingeruhusu maandamano kwa vile huwezi kuwadhibiti watu hata watu 2, kila mmoja ana ajenda yake katika hayo maandamano, sembuse wawe elf 10, laki, laki 5.Huko wezi na majambazi nao wako huko kwenye maandamano. Acha utani na amani ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari aina ya Toyota Vitz imeibiwa

    Niko hapa Nolini hebu atoe contact yake huyo muhanga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachaga nisaidieni kwa hili...

    Inategemea baba ya hao wtt amekamatwa kicwa kiasi gani. Kwani mtt ni mtt, ila kwa hadhi ya wa kwanzana nk itabaki uamuzi wa baba. Kama unataka kujipendekeza kwa mkeo kuwa ww si mtu wa kuchepuka mm wa kwanza ataheshimika wa mkeo huyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hamu ya kuwa na mwanaume baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na mahusiano

    Pole hiyo ni hali inayoweza kutokea baada ya kuhujumiwa katika mapenzi. Ukipata umpendae mambo yatakaa vizuri. Usichelele maana muda wenu ni mfupi sana vichocheo vikiisha ni majanga
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kudanganya na kutafuta "kick" sasa umefika kikomo, umebaki muda wa kuumbuka

    Mbona hueleweki kama ufunuo wa Yohana mtakatifu? Kuwa mwazi au unaogopa?
Back
Top Bottom