Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM

Ngoja Lukuvi aingie pale au mzee wa jalalani watu watakimbiana bungeni
 
Pendekezeeni mtu ambaye ni mwana jf basi

Ova
 
Watu wanataka ZUNGU awe spika, ukiacha, Umasikini,Ujinga na Maradhi tatizo lingine moja wapo linalotukumba Watanzania kuwa sisi ni watu wasahaulifu SANA.

Ila hawa UVCCM wangekuwaga wako serious kuipinga serikali inayoongozwa na chama chao kwenye mambo mbalimbali

Mfano kupanda kwa gharama za umeme, tozo za miamala pamoja na mfumko wa bei za bidhaa mtaani kama wanavyotumia nguvu nyingi kwa Job nchi hii tungekuwa mbali sana.

In short CCM hawana mbinu tena.
Lukuvi
 
Mzee Lukuvi kamata nanga.Historia inajiandika,unao uzoefu miaka 40 Ikulu OWM sera na Bunge.
 
Back
Top Bottom