Recent content by Monda kubwa

  1. Monda kubwa

    Kuhama Tahsusi

    Yeye anataka PCM mkuu.
  2. Monda kubwa

    Kuhama Tahsusi

    Natamani kufahamu, kuna mdogo wangu alimaliza Form 4. Alipata division 2 ya point 19. Nilitaka asome PCM au PCB lakini selection zimekuja wamemchagua EGM. Na shule anayoenda hakuna hizo tahsusi mbili (PCM na PCB). Kuna PGM tu. Naomba mnieleweshe kidogo kuhusu hii tahasusi ya (EGM). Je, akiisoma...
  3. Monda kubwa

    Ugonjwa huu tishio

    Wenzangu, ni miezi kadhaa tangu gonjwa hili la kishetan liingie nchi yetu pendwa ya Tanzania. Hatujawahi kuwa na lockdown wala curfew. Lakin Mungu sio Makombo, tumeendelea kuishi kwa kudra zake Je, Tanzania mpaka hapa tulipofikia sisi kama Tanzania bado hatujadevelop "HERD IMMUNITY?" Wajuzi...
  4. Monda kubwa

    Vodacom Tanzania uvumilivu umenishinda

    Voda bure, vifurushi ghali, wanatuibiaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Monda kubwa

    Nahitaji msaada wake haraka

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Monda kubwa

    Nahitaji msaada wake haraka

    Ambaye ana mawasiliano ya mkuu Wa mkoa Wa Arusha humu aniandikie please. (Namba za simu) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Monda kubwa

    Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Ni Sikh kadhaa sasa Madagascar wametangaza dawa inayotibu na kuzuia maambukizi ya corona. Tukumbuke kuwa nchi hio haina kifo chochote. Tangia wagundue hio dawa hakuna visa vilivyogundulika vipya. Dawa hio imegunduliwa na dakatri Wa kiafrica kabisa mzaliwa Wa Congo. Mpaka sasa Senagal, Guinnea...
  8. Monda kubwa

    Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

    Kujaamiiana hajamaabisha kufanya mapenzi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Monda kubwa

    Mtalimbo au kibamia???

    Kwenye kukutana baina ya wapenzi najua wanawake wanakutana na changamoto muktadha cku wanapokutana kwenye mechi kwa Mara ya kwanza. Naomba ushuhuda kidogo kuhusu hawa warembo wetu jinsi walivyokutana na jacuzi. Either kibamia au dudu kubwa oversize uli react vipi. Au ulifanya nini kuhimili...
  10. Monda kubwa

    Africa tunajidharau

    Hivi nikichukua mwarobaini, aloe vera, majani ya mpapai, tangawizi nikachanganya nikachemsha halafu nikanifunikiza na nyingine nikanywa kwa cku tatu mfululizo. Siponi corona? Tusiidharau Africa yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Monda kubwa

    Tuliowahi kutapeliwa tukutane hapa

    Nimemaliza form 4 nikafaulu kwenda 5. Nikaitwa 5 Dodoma. Mzazi akaninunulia Alcatel simu kama zawadi. Hio cku nimepewa kitu kama 80k ya kuweka kwenye account ya shule kama ada. Natembea zangu road kwa walioko Arusha wanapajua pale shoppers (previously Nakumat). Natembea nimeweka headphone...
  12. Monda kubwa

    Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

    SAUT ingewekeza nguvu main campus. Haya matakataka mengine haya yafe. They lacked vision. Kingekuwa chuo kikubwa mno TZ na Africa mashariki Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Monda kubwa

    How I Met My Wife

    Nai geto chuo.....eheeee...twende Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Monda kubwa

    How I Met My Wife

    Nzi chuma shusha madude Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Monda kubwa

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Waathirika wengine wawili wapatikan Tanzania. Mmoja Dar es salaam na mwingine Zanzibar. Wote ni wageni. Majaliwa katangaza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom