Upile bulabo
Member
- May 12, 2014
- 40
- 20
Habari wana Jf
Nimekuwa Mtumiaji wa vodacom kwa mda mrefu ila sasa nimevumilia nimeshindwa kero ni nyingi mno kubwa ya yote ni ulaji wa bando MB's mfano Jana jioni nimenunua GB 2 asubuhi naperuzi Instagram sms inaingia bando lako ni chini ya MB 0 kha nilichoka na sikuwa na matumizi makubwa kivile nilitumia IG,watsap jf na video moja wa dakika 4 YouTube na hii imeanza siku za karibuni mb's zinakimbia hatari yaani nikiweka 1gb au mb500 ni kama chanjo pia kero za kuchukua salio kwa kuniunga automatically na huduma zao za kijinga ambapo imepelekea kuacha kutumia salio la kawaida na kutumia mpesa zipo kero nyingi mno kwa huu mtandao pendwa lakini sijui wanadhani mimi bwenyenye shenzi kabisa sasa nabwaga manyanga Imetosha.
Nilikuwa mtumiaji wa line moja kwa mda nilikuwa natumia airtel na tigo pia walinifurahisha that time ila nikaachana nao mtandao ulikuwa hauko fasta kivile japo airtel walikuwa na offer za maana nazikumbuka kweli GB 2 kwa buku japo slow but sure unazitumia paka unaridhika ila hawa vodacom sio kabisa wamekuwa kero unajiunga bando ila huna raha kulitumia maana kidogo tu unashtuka SMS ya vodataarifa hawa jamaa wamekuwa sikio LA kufa japo nimelalamika sana customer care Ila wapi.
Kwenu watumiaji wa Airtel,tigo,halotel na ttcl naombeni ushauri mtandao UPI ni mzuri kigezo kikuu kiwe bando LA Internet kwa bei nafuu na spidi tofauti na hawa takataka vodacom, karibu utiririke.
Me nilikuwa na gb1 na nimetumia kwa ajili ya jamiiforum pekee baada ya lisaa limoja tangu nijiunge imeisha.Voda Ni wezi Sana sasa hivi nimeamia halotel.Airtel ilo slow ndio maana mb zinakaa muda mrefu, but Vodacom mtandao uko faster ndio maana mb zinatafunwa upesi.
Niliwakimbia voda nikarudi airtel,japo baadhi ya vifurushi wamepunguza mb but maisha yanaenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio GB2 acha basiSema insta inakula bundle angalia matumizi yako kwanza kabla ya yote
Maana ukiwapigia watakwambia angalia matumizi yako
Huu ni uongo
Huyo dada anawatetea bure labda atakuwa Ni mfanyakazi wa voda niliweka GB 2.5 baada ya masaa mawili iliisha yote na niliitumia kwenye Google na jamiiforum pekee sikuingia kwenye insta,WhatsApp Wala fb yaani waliniuzi voda ile mbaya nikaona labda itakuwa nitatizo la muda mfupi nikaamua ninunue vocha nyingine nijiunge Tena kesho yake mambo yakawa vile vile so nikaona niamie halotel huku napata Raha kweli kweli.Kiufupi voda Ni wezi.Ndio GB2 acha basi
Gb 2 si fasta tuNdio GB2 acha basi
halotel iko poa sanaHabari wana Jf