Maasai Chotara
Member
- Mar 6, 2020
- 50
- 103
Sure. Mtu hujifunza kupitia Makosa.Mwaka 200070,000/= kizembe sana
Uzuri wa kutapeliwa baadae huwezi kutapeliwa teena...
Sent using [Iphone XS Max]
Sure. Mtu hujifunza kupitia Makosa.Mwaka 200070,000/= kizembe sana
Uzuri wa kutapeliwa baadae huwezi kutapeliwa teena...
Mkuu umenikumbusha mbali stori yako ni kama ya kwangu, mwanza vile vile maeneo ya kirumba natokea tuition jioni nyakabungo mwaka 2015, jamaa alitokea mbele angu amechakaa kweli kweli maelezo kama uliotoa . Yeye alidai anaitaji msaada wa mtu kumpeleka sehemu wanaponunua madini au kwa sonara.. nilimwambia kuwa mimi ni mgeni hapa mjini kwahyo sijui ni wapi wanapatikana masonara.. nilpokuwa bado naongea nae nataka kuondoka gafla katokea jamaa mwingine, kaja kajifanya ajui kinachoendelea ndo jamaa kamsimlia yule akasema anafahamu walipo masonara kwo atamsaidia kumpeleka. Hapo nkataka kuondoka zangu wakasema hapa subiri tumsaidie jamaa kumpeleka kwa sonara akiuza tutakupa mgao kidogo ... Safari ikaanza kutembea kwenda kwa sonara, mbele kidogo yule jamaa mwenye mali akasema ana njaa ajala siku nzima ndo wakanambia una shingap hapo tumpe jamaa ale chakula kwanza tukiuza unapata hela yako .. mfukoni nilikuwa na na elfu 5 noti na simu ya smart yenye touch na batati kwa pamoja nahis mnazikumbuka hiz simu .. wakasema mimi niende na mzigo had kwa sonara watanikuta hapo nawasubiri, maana yule aliekuja kujifanya kutoa msaada wa wapi wanapatikana masonara alisema wanapatikana Misheni. Wakanambia nimwachie mwenye mzigo simu ili nisije kukimbia na mali . Nkaacha simu na hela nshawapa, mimi uyo hadi misheni kulikuepo na jengo la ghorofa kabla alijavunjwa , nilikaa misheni tangu saa kumi na mbili hadi saa mbili kasoro bila wale jamaa kutokea .. ndo nkaanza kuhisi nshaibiwa, Ikabidi nainze kutembea tena kutoka mishen hadi bwiru kwa bro... Nilifika nawaelezea kwamba nimekuja na madini .... Kabla sijamalza kuwasimlia walishaanza kucheka kwamba tiyari ushaibiwa . Kuwapa bahasha ya kaki kuifungua ndan kokoto sio madini tena wakati niliona kwa macho yangu hapo kabla ... Yaani nilitokwa jasho mwili mzima .. ndo nkawa nimeliwa simu na hela hivyo....Binafsi niliwahi kuuziwa dhahabu miaka ya 2000s kipindi hicho ndo naingia mjini.
Nilitoka kwetu kijijini kuelekea mwanza mjini nilifika stendi nilishuka vizuri tatizo lilianza nilipoanza kukatiza mitaani mbele yangu alitokea jamaa mmoja amechakaa Sana akiwa anaongea lafudhi ya kisukuma aliniambia Kuna wazungu wamepata ajari maeneo ya geita na yeye alifanikiwa kupata dhahabu kidogo katika ajari ile hivyo Alikuja mwanza mjini kutafuta wateja aliniambia nimsaidie atanipa kiasi kidogo
Sikuwa tayali kuachia utajili fasta nilimuuliza Ni shi ngapi aliniambia nimpe 40k by that time .Mfukoni nilikua na 10k nilishusha mpaka akakubali akanipa mzigo nikalipa tukaachana . Baadae nilikuja kucheki mzigo umegeuka mawe daaaah ! Jamaa aliniotea .
Tupia story yako ulivotapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenikumbusha mbali stori yako ni kama ya kwangu, mwanza vile vile maeneo ya kirumba natokea tuition jioni nyakabungo mwaka 2015, jamaa alitokea mbele angu amechakaa kweli kweli maelezo kama uliotoa . Yeye alidai anaitaji msaada wa mtu kumpeleka sehemu wanaponunua madini au kwa sonara.. nilimwambia kuwa mimi ni mgeni hapa mjini kwahyo sijui ni wapi wanapatikana masonara.. nilpokuwa bado naongea nae nataka kuondoka gafla katokea jamaa mwingine, kaja kajifanya ajui kinachoendelea ndo jamaa kamsimlia yule akasema anafahamu walipo masonara kwo atamsaidia kumpeleka. Hapo nkataka kuondoka zangu wakasema hapa subiri tumsaidie jamaa kumpeleka kwa sonara akiuza tutakupa mgao kidogo ... Safari ikaanza kutembea kwenda kwa sonara, mbele kidogo yule jamaa mwenye mali akasema ana njaa ajala siku nzima ndo wakanambia una shingap hapo tumpe jamaa ale chakula kwanza tukiuza unapata hela yako .. mfukoni nilikuwa na na elfu 5 noti na simu ya smart yenye touch na batati kwa pamoja nahis mnazikumbuka hiz simu .. wakasema mimi niende na mzigo had kwa sonara watanikuta hapo nawasubiri, maana yule aliekuja kujifanya kutoa msaada wa wapi wanapatikana masonara alisema wanapatikana Misheni. Wakanambia nimwachie mwenye mzigo simu ili nisije kukimbia na mali . Nkaacha simu na hela nshawapa, mimi uyo hadi misheni kulikuepo na jengo la ghorofa kabla alijavunjwa , nilikaa misheni tangu saa kumi na mbili hadi saa mbili kasoro bila wale jamaa kutokea .. ndo nkaanza kuhisi nshaibiwa, Ikabidi nainze kutembea tena kutoka mishen hadi bwiru kwa bro... Nilifika nawaelezea kwamba nimekuja na madini .... Kabla sijamalza kuwasimlia walishaanza kucheka kwamba tiyari ushaibiwa . Kuwapa bahasha ya kaki kuifungua ndan kokoto sio madini tena wakati niliona kwa macho yangu hapo kabla ... Yaani nilitokwa jasho mwili mzima .. ndo nkawa nimeliwa simu na hela hivyo....
Sent using Jamii Forums mobile app




Duuuuu!mi nimetapeliwa Ila hii ni Kali na noma sanaYule mmasai aliyeuziwa msikiti mkuu pale morogoro mjini kama yuko huku anyooshe mkono atuhadithie ilikuwaje
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hata mm nmewahi tokewa 2010 o level Ila mm niliona betr ndogoMkuu umenikumbusha mbali stori yako ni kama ya kwangu, mwanza vile vile maeneo ya kirumba natokea tuition jioni nyakabungo mwaka 2015, jamaa alitokea mbele angu amechakaa kweli kweli maelezo kama uliotoa . Yeye alidai anaitaji msaada wa mtu kumpeleka sehemu wanaponunua madini au kwa sonara.. nilimwambia kuwa mimi ni mgeni hapa mjini kwahyo sijui ni wapi wanapatikana masonara.. nilpokuwa bado naongea nae nataka kuondoka gafla katokea jamaa mwingine, kaja kajifanya ajui kinachoendelea ndo jamaa kamsimlia yule akasema anafahamu walipo masonara kwo atamsaidia kumpeleka. Hapo nkataka kuondoka zangu wakasema hapa subiri tumsaidie jamaa kumpeleka kwa sonara akiuza tutakupa mgao kidogo ... Safari ikaanza kutembea kwenda kwa sonara, mbele kidogo yule jamaa mwenye mali akasema ana njaa ajala siku nzima ndo wakanambia una shingap hapo tumpe jamaa ale chakula kwanza tukiuza unapata hela yako .. mfukoni nilikuwa na na elfu 5 noti na simu ya smart yenye touch na batati kwa pamoja nahis mnazikumbuka hiz simu .. wakasema mimi niende na mzigo had kwa sonara watanikuta hapo nawasubiri, maana yule aliekuja kujifanya kutoa msaada wa wapi wanapatikana masonara alisema wanapatikana Misheni. Wakanambia nimwachie mwenye mzigo simu ili nisije kukimbia na mali . Nkaacha simu na hela nshawapa, mimi uyo hadi misheni kulikuepo na jengo la ghorofa kabla alijavunjwa , nilikaa misheni tangu saa kumi na mbili hadi saa mbili kasoro bila wale jamaa kutokea .. ndo nkaanza kuhisi nshaibiwa, Ikabidi nainze kutembea tena kutoka mishen hadi bwiru kwa bro... Nilifika nawaelezea kwamba nimekuja na madini .... Kabla sijamalza kuwasimlia walishaanza kucheka kwamba tiyari ushaibiwa . Kuwapa bahasha ya kaki kuifungua ndan kokoto sio madini tena wakati niliona kwa macho yangu hapo kabla ... Yaani nilitokwa jasho mwili mzima .. ndo nkawa nimeliwa simu na hela hivyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaa sasa kosa lako ni kutokua na helaWalitaka kuntapeli bahat mbaya sikua hata na mia mbovu.Niliambulia matusi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilitapeliwa na wauni arusha walinikaribisha mjini kwa kweli nilipita mtaa Fulani nikakuta kuna mnada wa vitu mbali mbali kama laptop, tv ,simu na kadhalika kwa haraka haraka nikaona Samsung s9 nikauliza hii bei gani mi nikakata ofa 50k ikaanza kupigwa mnada Mara kunamwingine kapanda mpaka 120k mi nikaamuwa kufunga hesabu nikatamka 150k Mara baada ya kutamka 150k nikaskia top 150k kumaanisha Mimi ndio nimeshinda nikachukua chaja na simu na kilakitu kufika getto nikaweka simu kwenye chaji ikalala kabisa kesho yake nawasha simu ,simu inawaka na kwenye kioo yakatoka maandishi ya neno ( princess ) nikajua hapa nishaliwa nikatafuta demu nikamwonga tu .
Sent using Jamii Forums mobile app





























Mkuu nimecheka hapa watu wananishangaaaNilivyoibiwa boda boda
Nipo kijiwen nikisubiri abiria mara wakaja waaume wawili mmja mtu wa makamo 40/55 amevaa miwani mweusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwengine ambae ni kijana Kati ya miaka 18/25 akimsadia kumuongoza njia huku wote wamekamata ile fimbo.
Wamefika kwangu yule kijana akanambia huyu abiria anaenda manzese darajani sh ngap?.Nikamwmbia buku tatu kipofu akaomba nimsaidie ana elf 2 nikakubali nikampakia mbele kdogo kipofu akaangusha fimbo yake akanmbia samahn fimbo yang imeanguka nikasimam nikaangalia kweli nikaiona haikuwa mbal na niliposimama
Si nikajichanga kwenda kumuokotea fimbo bila kuizima boxer yangu kudadeq hatua kama tano hivi nikasikia chombo inapigwa race ya kufa mtu kugeuka nyuma mtumeee kipofu anaendasha pikipiki
Mkuu hat Mimi nilicheka siku hiyo wakat kipofu anapanga gia
Mkuu nimecheka hatari,. Naona kipofu kaona mweziNilivyoibiwa boda boda
Nipo kijiwen nikisubiri abiria mara wakaja waaume wawili mmja mtu wa makamo 40/55 amevaa miwani mweusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwengine ambae ni kijana Kati ya miaka 18/25 akimsadia kumuongoza njia huku wote wamekamata ile fimbo.
Wamefika kwangu yule kijana akanambia huyu abiria anaenda manzese darajani sh ngap?.Nikamwmbia buku tatu kipofu akaomba nimsaidie ana elf 2 nikakubali nikampakia mbele kdogo kipofu akaangusha fimbo yake akanmbia samahn fimbo yang imeanguka nikasimam nikaangalia kweli nikaiona haikuwa mbal na niliposimama
Si nikajichanga kwenda kumuokotea fimbo bila kuizima boxer yangu kudadeq hatua kama tano hivi nikasikia chombo inapigwa race ya kufa mtu kugeuka nyuma mtumeee kipofu anaendasha pikipiki
Mpaka kesho ujawah wapata tena????Nilivyoibiwa boda boda
Nipo kijiwen nikisubiri abiria mara wakaja waaume wawili mmja mtu wa makamo 40/55 amevaa miwani mweusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwengine ambae ni kijana Kati ya miaka 18/25 akimsadia kumuongoza njia huku wote wamekamata ile fimbo.
Wamefika kwangu yule kijana akanambia huyu abiria anaenda manzese darajani sh ngap?.Nikamwmbia buku tatu kipofu akaomba nimsaidie ana elf 2 nikakubali nikampakia mbele kdogo kipofu akaangusha fimbo yake akanmbia samahn fimbo yang imeanguka nikasimam nikaangalia kweli nikaiona haikuwa mbal na niliposimama
Si nikajichanga kwenda kumuokotea fimbo bila kuizima boxer yangu kudadeq hatua kama tano hivi nikasikia chombo inapigwa race ya kufa mtu kugeuka nyuma mtumeee kipofu anaendasha pikipiki
Mkuu nimecheka hatari,. Naona kipofu kaona mwezi
Mnajipanga ili mkatapeliwa tena. Wasukuma bwanaBinafsi niliwahi kuuziwa dhahabu miaka ya 2000s kipindi hicho ndo naingia mjini.
Nilitoka kwetu kijijini kuelekea mwanza mjini nilifika stendi nilishuka vizuri tatizo lilianza nilipoanza kukatiza mitaani mbele yangu alitokea jamaa mmoja amechakaa Sana akiwa anaongea lafudhi ya kisukuma aliniambia Kuna wazungu wamepata ajali maeneo ya Geita na yeye alifanikiwa kupata dhahabu kidogo katika ajari ile hivyo alikuja Mwanza mjini kutafuta wateja aliniambia nimsaidie atanipa kiasi kidogo
Sikuwa tayali kuachia utajili fasta nilimuuliza Ni shi ngapi aliniambia nimpe 40k by that time.
Mfukoni nilikua na 10k nilishusha mpaka akakubali akanipa mzigo nikalipa tukaachana.
Baadae nilikuja kucheki mzigo umegeuka mawe daaaah ! Jamaa aliniotea.
Tupia story yako ulivotapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawapata..nina karatas ya polis hadi leo nikiona basi nacheeka